Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi. Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani? Je, kuna gharama...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Wakuu Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa...
10 Reactions
113 Replies
5K Views
Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM...
35 Reactions
126 Replies
3K Views
Hii kazi siiwezi hata kidogo ,it’s not my job either my area. Ninafurahi kuwa mwanachama huru. Leadership is not a title.
6 Reactions
13 Replies
1K Views
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Wakuu, Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana, Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri...
15 Reactions
34 Replies
864 Views
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba...
75 Reactions
282 Replies
22K Views
Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya. Hili la uchaguzi wa...
3 Reactions
16 Replies
543 Views
Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti. Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo umehitimishwa uongoze wa Freeman Mbowe, baada ya kukaa kwenye nafasi ya juu ya chama kwa takribani miaka 21. Miaka 21 ndani ya uongozi wa chama cha siasa cha upinzani, si jambo rahisi. Hiyo...
26 Reactions
43 Replies
1K Views
Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania Mungu ibariki TANZANIA
28 Reactions
114 Replies
4K Views
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole. Kwaheri CHADEMA.
5 Reactions
73 Replies
2K Views
Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo...
10 Reactions
120 Replies
3K Views
Hata sasa sitashangaa Mzee Kikwete akirudi Siasani kwani upepo wa Siasa umeshabadilika Namuona Tundu Lisu akiilazimisha CCM kuachana na Siasa za Uchawa na kuingia kwenye Siasa halisi kama enzi za...
6 Reactions
7 Replies
467 Views
Haifanyi kazi tena. Watu wanatumia akili sasa hivi. hatubebeki kiselasela Sio tu huko mjini hata hapa Nanjirinji. Uzi tayari Ngoja nikabet
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Wakuu, Majibu ya kura yanatangazwa muda wowote kuanzia sasa, baada ya zoezi kufanyika usiku kucha. Wale wazee wa kuomba ban mko wapi? Mbona hatuwaoni, hamuamini team zenu kabisa? Ombeni basi...
2 Reactions
24 Replies
703 Views
Heshima kwenu Wanajamvi, Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha. Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama...
16 Reactions
85 Replies
2K Views
MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa...
0 Reactions
3 Replies
219 Views
Back
Top Bottom