Wanabodini Mlimakafu??
Mimi ni mpenzi wa siasa za maendeleo zaidi na sio za kiharakati. Wakati huo napenda siasa za kisomi kweli kweli..
Nimekaa nikatafakari baada ya kuisha uchaguzi wa Chadema...
Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha...
Oyaaa oyaaa ni aibu kwa Timu Mbowe...
Katibu Mkuu siakataka Wajumbe wapendekeze nani anakuwa mwenyekiti.
Timu Mbowe wakapendekeza DICKSON MATATA.
TIMU LISSU Wakapendekeza FRANK MWAKAJOKA.
Soma...
Ningependa niweke wazi na Watanzania wakielewe, sijawahi kuomba kuwa mwenyekiti kwa mtu yeyote, mwaka 2004 nilikuwa Mwenyekiti baada ya wajumbe wa kamati kuu na wazee wa Chadema kunipendekeza...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la...
KAWAIDA AZINDUA UVCCM KIJANI AWARDS
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Mohammed Ali Kawaida amewaongoza vijana katika uzinduzi wa tuzo (UVCCM KIJANA AWARDS) ambazo zitashirikisha...
1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi
2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo
3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea
4. Uhuru wa kuchagua na kugombea
5. Wasimamizi wa uchaguzi...
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao.
Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi.
Nchi hii kila kitu ni tabu...
Wakuu,
Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana.
Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa...
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu...
Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia...
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumalizika na ndugu TAL kuibuka na ushindi dhidi ya bilionea FAM, makada mbalimbali wa Chama cha mapinduzi walionyesha...
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu...
Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho.
Walinzi wameimarisha...
Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja...
Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA
Wote tunafahamu ccm...
Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa...
Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast.
Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.