Wakuu
Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa...
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri...
1. Vichaa wa kisiasa.
Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa...
"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina...
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa...
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,
Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.
Kama uliweza kuenda kumwona...
Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu
Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na...
Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi.
Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila...
1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe
2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA
3. Acheni wivu wà KIKE.
4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora
5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI
6. KIFO...
Amani iwe nanyi wadau
Pamoja na kwamba Jakaya Kikwete amekuwa kiongozi kwa muda mrefu hadi kuwa rais wa Tanzania kwa miaka kumi ,nakiri wazi sikuwahi kuujua uzalendo wake kwa nchi ya Tanzania...
Rais wa Tanzania John Magufuli wakati akizungumza kule kanisani Chato amesema alishangazwa sana na taarifa za madaktari na wauguzi zaidi ya 60 pale hospitali ya taifa pale Muhimbili kuwekwa...
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA.
Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda...
Habari.
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Leo Chadema...
Hapa duniani kuna mambo mengi sana
Yanayofurahisha na kumtia hamasa mwandamu .
Kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo hasa wanasaikolojia wanaamini kilele cha furaha kwa mwanadamu ni pale unapomgeuza...
Tangu mwezi wa tatu mwaka huu wa 2019 , ambao tuliambiwa kwamba Chadema itafanya uchaguzi wake MKUU wa kuchagua viongozi wa kitaifa .
Taarifa iliyowahi kutolewa na afisa habari wa chama hichi ndg...
Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata...
Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea ofisi za Tanesco na kulipongeza shirika hilo kwa kufikisha wateja 3.2 millioni ndani ya miaka 5 iliyopita.
Wanaoliwezesha kukusanya zaidi ya...
Wadau amani iwe nanyi,
Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao.
Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.