Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke...
51 Reactions
228 Replies
6K Views
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe. Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na...
15 Reactions
107 Replies
3K Views
"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza...
15 Reactions
73 Replies
4K Views
“Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea...
19 Reactions
73 Replies
5K Views
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi? Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja. Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja. Mwalimu Nyerere aliona...
-2 Reactions
7 Replies
226 Views
Wakuu, Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu. Inawezekana itaonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu wanaoamini kwenye kufanya mambo kimazoea, lakini...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya...
10 Reactions
74 Replies
4K Views
Kwa namna za siasa za Dr Slaa na vile ambavyo akizungumza kuhusu CHADEMA. Je ni kweli anaipenda CHADEMA?
-1 Reactions
8 Replies
339 Views
Wakuu, Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani...
2 Reactions
9 Replies
392 Views
Kiukweli siasa za hii Nchi ni ngumu sana Ninachomuomba Alhaj Mchengerwa atupangie Timu makini ya Wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa October kwa sababu Wahuni siyo watu Mlale unono 😄
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Heshima sana wanajamvi. CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa. Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa...
13 Reactions
120 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa...
9 Reactions
87 Replies
2K Views
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake. "The lord can't forget his people." Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL: 1. Tofauti na wote, TAL anao usomi...
13 Reactions
130 Replies
4K Views
Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu...
26 Reactions
269 Replies
9K Views
Salama kabisa! Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa...
2 Reactions
0 Replies
124 Views
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya...
18 Reactions
72 Replies
4K Views
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI "Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin...
12 Reactions
289 Replies
34K Views
Back
Top Bottom