Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na...
Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha
"Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna...
Kumekuwa na tetesi za magenge ya wanasiasa wa chadema, akiwemo Mdude Nyagali kukusanya makundi ya vijana na kuyapa silaha za aina mbalimbali ili waje nazo kwenye uchaguzi mkuu wa chama changu cha...
1. Maneno Yajengayo, Si Kubomoa
"Neno lolote ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kuleta ujenzi kwa kadiri ya haja, ili liwape neema wanaosikia." (Waefeso 4:29)
Biblia inatufundisha...
Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo:
1. Kipaumbele chao ni...
Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k...
Kwa wenzetu nchi za Uarabuni hii imetumika sana na imeleta mabadiko makubwa ktk kisiasa, sababu kubwa mwamko wa elimu kwa vijana upo juu
Tanzania bado kabisa, wengi wanaona kama sehemu ya...
MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE
Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!!
Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara...
Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa...
Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA aliyejirejesha CCM na kupewa ubalozi kabla ya kuenguliwa na Samia Suluhu Hassan, Dk Wilbrod Slaa alisikika akijifanya kukipenda CHADEMA hadi kutaka kushiriki kupiga...
Haji Manara akihojiwa na Manara TV amesema kwa sasa hawezi kugombea jimbo la Ilala na mbunge Zungu kutokana na misingi ya heshima waliojiwekea baina yao.
Ameongeza kuwa Zungu ni kama kaka yake...
Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali...
Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi.
Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini.
1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda...
SEHEMU YA KWANZA👇🏻👇🏻
https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?si=rYCwWDRt0KJognM3
SEHEMU YA PILI👇🏻👇🏻
https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo
Kwa ufupi:
➡➡Amejibu na kutoa ufafanuzi wa tuhuma...
Michezo anaocheza Waziri Kivuli mstaafu wa Mambo ya Nje mh Wenje wa kuwagombanisha Mbowe na LISU ni Ule ule aliocheza Waziri wake kuwatenganisha JK na Eddo 2015 Ili yeye apate fursa ya kugombea...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
https://www.youtube.com/watch?v=X4mfNXq4ep8
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.