Nimeshangaa sana mtoto wa Mjini na Kiongozi wa siasa Kwa Miaka 34 Mzee Freeman Mbowe kuamini kuwa Kura zikihesabiwa mbele ya Camera ndio hazijaibiwa
Kwa Maana hiyo Chadema mko nyuma sana kifikra...
GTs,
Dkt Samia na jopo lake asilaumiwe kwa yanayoendelea.
Dogo ndiyo tatizo, yaani Muliro mcheki sura yake yaani mwili na roho havisomani kabisa na ukizingatia ni January.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Hemed Chale, ametoa msaada wa chakula kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha tarehe 28 Desemba 2024...
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa...
Anaandika Absalom Kibanda
Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri.
Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman...
"Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni."
Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu:
"Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa...
Yamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.
Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake...
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.
Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya...
Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati.
Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain...
Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu...
Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki...
Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo
Sasa ni rasmi mafahali...
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni...
Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza.
Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi:
Na bado chawa wa Mama wanakenua...
Lissu amkomalia JK
MNADHIMU wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, ameendelea kumwandama Rais Jakaya Kikwete, akisema baadhi ya majaji aliowateua hawana sifa, na kwamba viongozi wa...
Kwa kuangalia jinsi Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, wanavyoishi na kushirikiana kisiasa, ni dhahiri kwamba kuna hali ya kutatanisha. Naamini...
Wanaojiita Watanzania waishio nje ya nchi wametangaza kutoa takrima kwa yeyote atakayeripoti habari ya kinachoitwa rushwa kuelekea Mkutano Mkuu wa Chadema Januari 21
Katika Tangazo linalosambazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.