Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa:
Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje?
Kwamba kwa...
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho...
Kitabu cha Hesabu 33:55 ndio kinamsumbua Netanyahu hata sasa huko Palestine
Hesabu 33:55 Lakini msipowafukuza kwanza Wenyeji wa Nchi hiyo wale watakaobakia Watakuwa kama Miiba kwenu kila Upande...
https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L
Wakuu,
Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati...
Majina mazito mazito haya ni kielelezo kamili cha wapigania haki wenye kutukuka. Nini kisimame mbele ya watu kama hao kuzuia haki kutamalaki?
Nini thamani ya maisha ya awaye yote kama ukosefu...
Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi.
Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema.
Msikilize Ansbert ngurumo...
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.
Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMAwa uchaguzi wa Mwenyekiti.
Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa...
Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii.
Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa
Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman?
Chama chenye dola kama CCM unaweza...
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana...
Wakuu,
Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee?
Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa...
===
Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo.
https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
Tukubali kuwa Wenzetu wanapenda maendeleo.Nenda popote mijini Tanzania utawakuta,wawe wamesoma au kutosoma.
Nenda Mpwapwa,Singida ,Babati utawakuta.Mnaweza kupata mshahara mmoja,lakini Mchaga...
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu"
Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema siku moja kabla hajatoka Gerezani, Maaskofu watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye...
HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA
Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza...
Wakuu,
CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025?
====
Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu...
Hellow Tanganyika,
Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?
Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?
Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua...
===
CHAMA Cha Wamiliki wa Malori wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala...
Salama wananzengo,
Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli.
Hii barabara ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.