Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako.
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako.
Kanisa Lako Liko...
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani...
20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani.
Ameshindwa kulinda kura za Watanzania.
Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki.
Ameshindwa kuwatengenezea viti...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai...
It is useless and sarcastic to be "chawa" in a poor country like yours, a kenyan friend told me, so guys let's stop this behaviour, be chawa of your own achievement!
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen...
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson
Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu...
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa:
"Tanzania itatawaliwa kidikteta"
Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi...
NEW UPDATE - ALHAMISI, 15/12/2016
Taarifa mpya ni kwamba, Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo mpaka muda huu bado anashikiliwa na polisi na hajafikishwa Mahakamani kama sheria inavyotaka...
Sammy Awami mwandishi nguli wa BBC amepiga hodi Nyumbani Kwa Freeman Mbowe Kwa mahojiano
Sammy Awami ameshamuhoji Tundu Lissu ambaye alisema Kwa Miaka 21 Mbowe ameshindwa kushinda hata Kijiji...
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa...
Wakuu,
Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi...
Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
Mbunge wa Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood, amejitolea kwa dhati katika kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo lake kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Miongoni mwa mafanikio yake ni...
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA...
JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA?
MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA.
1. Deogratias Cosmas...
Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji.
Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine...
Wanabodi, hili nimekutana nalo mahali kwamba kuna uwezekano Samia Suluhu Hassan akajiondoa kugombea Urais 2025. Hapa ndipo ninajiuliza ikitokea hivyo ninyi wana CCM mnaye mgombea wa akiba? Ni nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.