Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo.
Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC?
1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko...
Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia,
Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka,
CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome,
Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako.
Busara zako ni taa...
Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo.
Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na...
Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !!
Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ...
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !
Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.
Sasa Ukiwa Waziri...
Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA.
Swali langu: Je, Lissu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja.
Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at...
Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini?
Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi...
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana...
Meya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa
Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana
Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni...
Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa...
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali...
Chaguzi ZOTE za Chadema hugubikwa na Rushwa kubwa kubwa Sema tu this time wanufaika ni wachache ndio tunasikia haya makelele
Chadema na Rushwa Sawa Uji na Mgonjwa
Nawatakia Sabato Njema 😄
Kwenye mahojiano ya Kipindi Cha One on One Wenje ameiponda Nafasi ya makamu Mwenyekiti na kusema hainaga Fursa zozote zaidi ya kusimamia Vikao Vya Nidhamu
Wenje amesema Cheo Cha Makamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.