Wanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 44 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio...
Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu...
Wakuu,
Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake.
Kuna nini?
========================================================
Mkuu wa mkoa wa...
Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.
Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una...
SIdhani Kama Dr Samia Suluhu Hassani anaweza kuzuia Haki ya Wanawake Wenzako Kugombea Nafasi ya Kuwania Urais ndani ya Chama chake.
Ktk hili tuombe women empowerment iwe kwa vitendo na isiishie...
Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko
Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika...
Ndugu zangu Watanzania,
Lissu hajawahi kuwa na uchungu na CHADEMA,hana uchungu na CHADEMA zaidi ya maslahi yake binafsi. Anachokifanya Lissu kwa sasa kwa CHADEMA na kwa viongozi wenzake...
Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa.
Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa...
Maandamano ya DP World - Bandari yalishika kasi zaidi Mbeya, Kesi ilifunguliwa Mahakama ya Mbeya
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi...
Huyu Mzee analipeleka wapi Chama yani kutoka kuzungukwa na akina Prof Baregu, Prof Safar, Dr Mkumbo, Ntagazwa, Arfi, Dr Slaa, Lissu, Heche, Lema, Msigwa, Mdee na leo kuzungukwa na Ntobi, MMM, Sugu...
Kwa mtazamo wangu, hili ndio tatizo la msingi la huyu bwana kutaka kuendelea kukakilia hicho kiti. Nina wasiwasi kuwa alishakula hela za watu kwa shariti hilo na sasa asipogombea atakuwa ameenda...
Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris amezomewa msibani na wananchi sababu ubovu wa barabara za jimboni kwake kisema si mbunge amesababisha barabara hizo kuwa mbovu. Hata hivyo mbunge huyo...
Ni Wiki ya 3 Sasa Uchaguzi wa Chadema umefunika Media zote hata shamra shamra za sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar hazisikiki sana
Baada ya Yesu Kufa Msalabani yule Akida akajipigapiga kifua na...
Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo:
1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu...
Ndugu wanajamvi,
Tumesikia kuhusu kitabu kipya cha Erick Kabendera kinachoitwa "In the Name of the President: The Memoirs of a Jailed Journalist". Kabendera amefunguka kwa kina juu ya utawala wa...
Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi!
Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda...
https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5
Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.