Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija.
Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania...
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani...
Inawezekana sijui kwa usahihi tafsiri sahihi ya neno uzalendo. Lakini najua dhima mojawapo ya kuwepo kwa mafunzo ya JKT ni kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania!
Hilo lengo limefikiwa?
Mimi...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli.
Fuatilia hapa akitoa tamko lake...
"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe."
"...hivi ninavyozungumza, mwamba...
Hivi kwa miaka 21 Mwamba Mbowe hakuna Kazi zinazoonekana alizofanya kwa manufaa ya Chama ama Nchi?
Kwanini msitumie hizo Kazi zake au mafanikio yake kama msingi wa kampeni na yeye akapumzika tu...
"....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?"
"....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!"...
Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika!
Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la...
Tumekuja shtuka mwenyekiti kila akihojiwa anaelezea jinsi ambavyo amemsaidia Lissu. Kila akihojiwa anaeleza amefanya mangapi kwa Lissu.
Na anaeleza ametoka wapi na Chama. Sera zake kuu ni
1...
Mwenyekiti wa ngome ya vijana akizungumza na waandishi wa habari leo January 9,2025 amesema kuwa
“Naomba niwaambie watanzania suala la ulinzi na usalama ni jambo ambalo tunapaswa tuungane kwa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa
“kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli...
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the...
Katiba ya CCM haina kipengele chochote kinachoweka ukomo wa muda wa mtu kuwa katika uongozi.
Na katika sehemu inayotaja mwenyekiti wa taifa hakuna ukomo.
Kwa kuwa suala la kukosa ukomo...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo akiongea na wanahabari leo, amesema kuwa baada ya kutekwa na kuteswa na baadaye kutelekezwa Coco beach wilaya ya Kinondoni, alipewa...
Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana.
Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni...
Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema...
Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara.
Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha...
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes...
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.