Wakuu,
Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa?
Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na...
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee,
Nchi inayoelekea uchumi wa kati,
Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na...
Mzazi anasema mimi naenda mahala fulani msitoke hapa niwakute mnaangalia TV.
Mzazi huyu anaongea ilimradi tu bila kujuwa madhara ya watoto kukaa muda mrefu.
Nyumba za sasa choo nazo ndani...
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi...
Katika kipindi hiki ambacho nchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, ni muhimu kwa vyama vya siasa kuangalia upya katiba zao ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu wa shughuli zao...
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka...
Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa...
Mzee huyo anasema Rais Mwinyi kwa miaka 60 iliyopita hajatokea kama yeye, ameongeza kuwa shida yake ni maendeleo na aliamini kuwa wakipata uongozi mpya basi watayapata, lakini bahati mzuri hayo...
Wagombea na Wapambe wa wagombea chadema wamekuwa zaidi wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari!
Kwa mustakabali wa maendeleo ya chama CHADEMA...
Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki...
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu...
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala...
Royal Tour ni Brand ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa ameifanya kutangaza utalii. Royal Tour imekuwa ya mafanikio makubwa. Changamoto kubwa inayoonekana wasaidizi wake hakuna juhudi za...
Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika...
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo.
1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe.
CCM...
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.