Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa?
Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni...
Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari..
Kama mnakumbuka prof. Shivji...
Ni ukweli mchungu ila ndiyo ukweli sasa tutafanyaje,hao akina Mwabukusi, Maria,Fatma Karume,Nshala,Dk Slaa,Jebra Kambole,Sativa nk siyo wapiga kura wa Uchaguzi wa CHADEMA ni wapiga kelele tu za...
Nilimsikiliza kwenye mdahalo wake wakuaga uongozi wa kigoda cha Mwalimu Nyerere,imesoma ile hotuba yake mara kadhaa na kugundua kuwa sio bure Mwanataaluma huyu alitumwa na akatumika.
Kwa msomi...
Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif.
Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali.
Hii imetokea baada ya maalim...
Na Twahir Kiobya (The Man)
Kipyenga cha nafasi ya uwenyekiti katika chama cha CHADEMA kimeshalia, na tunaambiwa kuwa kutakuwepo mdahalo wa wazi baina ya wagombea wa nafasi hiyo yaani Tundu Lissu...
Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza...
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita.
Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa...
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.
Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza...
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Ndugu Isihaki Rashidi Mchinjita, ameeleza kuwa baraza kivuli litatumia mwaka 2025 kusimamia haki za wananchi, uwajibikaji wa Serikali na kupigania mageuzi ya...
"Rushwa ukiitazama katika mfumo wa kijinai tunasema unapaswa uthibitishe pasipo na shaka lakini mkija kwenye upande wa chama kama CHADEMA, kwanza tunapaswa kujuwa kuwa CHADEMA ni tumaini la...
===
MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU
Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui...
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini...
Hakuna anayeamini!
Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani.
Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri...
Mbowe ni Mkristo na anesema Ukweli kabisa kwamba alimsaidia Tundu Lisu kiuchumi Kwa muda mrefu
Binafsi nafahamu Watu wenye Fedha wanavyoweza kuwatumia kiujanja Watu wenye akili.
Hii ipo hata...
Nchi hii haishi vituko.
Kuna kigogo mmoja wa Bunge, kawa dalali wa kampuni moja ya UAE anashinikiza jeshi la Polisi na wizara ya Mambo ya ndani kuingia katika mradi wa ubia wa dola milioni 700...
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa
Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi.
Masikini...
Ukichunguza sana, viongozi aina hii, wote huwa ni ndumila kuwili, mguu mmoja upinzani na mwingine chama tawala
Ukifuatilia kwa umakini huu mtanange wa nani ni nani kati ya Mh. Mbowe na Mh. Lissu...
"Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.