Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kumepambazuka, nauona mwanzo wa safari mpya, safari ya kurejea kwenye njia itupelekayo kule kwenye nchi yetu ya ahadi, nchi yenye kujitegemea, ambayo watu wake hawapishani sana kimapato, wote wana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake! Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta...
16 Reactions
232 Replies
5K Views
Wakuu tumeshuhudia watu wakipigana vikumbo kugombea nafasi kadhaa ndani ya CCM na wengine kuhonga vitumbua ili tu wapate kuchaguliwa wajumbe wa mkutano mkuu au NEC mimi nataka nijue kuwa mjumbe wa...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
MWIGULU NCHEMBA APASUA ANGA KIMATAIFA,SASA KUTIKISA MAREKANI NA UINGEREZA ZAIDI YA MWEZI MMOJA ---KUIMARISHA CCM KIMATAIFA,KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KWENYE MATAIFA HAYO MAKUBWA DUNIANI. CHADEMA...
0 Reactions
102 Replies
9K Views
Ukiniuliza nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015 nitasema ama Mpina, au Lisu,au Lema. Nawatazama viongozi hawa vijana kama alama ya mabadiliko kwa ustawi wa taifa letu. Viongozi hawa wapo wazi na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke. Hata hivyo ni jambo la kusikitisha katika nchi yetu...
2 Reactions
48 Replies
990 Views
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi...
7 Reactions
63 Replies
11K Views
Mahakama imetengua uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Oktoba 2019 dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Twaweza, Aidan Eyakuze. Imeamuru Idara ya Uhamiaji kukamilisha uchunguzi...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli...
15 Reactions
110 Replies
2K Views
Siku ya leo Rais Samia amezindua shule mpya ya Sekondari huko Bumbwini Zanzibar na wakati anazindua shule hiyo Samia ameomba shule hiyo iitwe Balozi Seif kwa ajili ya kumuheshimisha makamu wa...
0 Reactions
4 Replies
401 Views
Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za...
19 Reactions
261 Replies
7K Views
Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu. Wenye wenu wivu mjinyonge.
1 Reactions
3 Replies
280 Views
Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM. Leo...
1 Reactions
10 Replies
367 Views
Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa...
1 Reactions
24 Replies
978 Views
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU...
47 Reactions
215 Replies
24K Views
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla...
5 Reactions
48 Replies
994 Views
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho. 2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku...
1 Reactions
13 Replies
519 Views
Mzee Freeman Aikael Mbowe amekuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 21 bila ya uwepo wa ushindani kwenye nafasi yake. Na walionyesha jaribio la kutaka nafasi yake walitimuliwa kwenye chama kwa...
6 Reactions
10 Replies
455 Views
Back
Top Bottom