Kiukweli sijafirahishwa na kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA cha kushindwa kujibu maswali ya watangazaji na kujibu kwa jazba kila swali alilouluzwa na kwa maoni yangu maswali aliyouluzwa yalikuwa...
Tayari wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali za chadema taifa na wajumbe wa mkutano mkuu wameanza kushikana, uchawi, kulaumiana na kutuhumiana kufanyiana ushirikiana kuelekea katika chaguzi za...
Heri ya mwaka mpya! Mnapongezwa tena kwa kazi yenu njema ya kufahamisha na kuelimisha kote duniani. Ujumbe unaofuata (umewasilishwa kama shairi lenye unabii wa mambo yanayoenda kutokea 2025)...
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na...
Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti.
Freeman Mbowe
STRENGTH
1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika...
Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick!
As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the...
Mbombo ngafu
Kumbe mbunge wa Geita Vijijini mh Msukuma anazo meseji za miamala ya Fedha alizokuwa anatumiwa Mbowe kuendesha Shughuli za Chadema kama chama rafiki
Msukuma kasema mchungaji Msigwa...
Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi
1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni...
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF
Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya.
Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo...
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba...
Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila
===
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya...
Siku ya leo imekuwa siku ya majuto makali sana ya moyo wangu, naweza nisieleweke lakini naomba niende moja kwa moja kwanza nimeumia kuona kabendera anaamini yakuwa Mbowe ni miongoni mwa watu wanao...
Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa...
Wakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena...
Narudia kwa mkazo wakati natoa wito kwa wagombea, wanachama na mawakala wa wagombea kuzingatia katiba kanuni maadili na itifaki ya chama katika mchakato mzima wa uchaguzi.”
“Hata hivyo katika...
Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua...
Siku chache zilizopita mwanamuziki maarufu wa miondoko yakufokafoka almaarufu Roma mkatoliki aliripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe record zinazomilikiwa na kijana jina...
Habari wakuu,
Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania.
Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.