Huku mkutano hauna fununu kwamba utakuwa unahusu nini.
Meanwhile tumeona mambo yanakuwa acrimonious katika kampeni.
Watu wanasema tumfukuze Tundu Lissu kutoka kwenye Chama,tumuadhibu Tundu Lissu...
Siasa za Arusha ni tofauti kidogo.
Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni...
Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani.
Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya...
https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi...
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu...
Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa.
Tunaona watu ambavyo...
Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii
Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼
======
Mohamed Dewji...
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO,
==
Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*...
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya...
Natoa uzoefu kwa mambo nayoyakumbuka katika siasa za upinzani tangu nikiwa sekondari. Soma mpaka mwisho maana suala la Mbowe lipo mwisho mwisho.
Binafsi nimezaliwa enzi za Mwinyi. Hii generation...
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa...
Deni la Zanzibar limekuwa kwa asilimia 400 ndani ya miaka minne, na hii ni hatari ... kuanzia mwaka 2020 hadi 2024 ya uongozi wa awamu ya rais Dr. Hussein Mwinyi...
Salaam, shalom!!
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, tayari tumekwisha ona homa ya Uchaguzi, HOFU kubwa ni kutoboa na kupata ushindi 2025. Wapo watia Nia ambao wamekwisha Anza compaign kabla ya Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo January 7, Bilionea Joseph Mbilinyi amekutana na Balozi huyo Ofisini kwake na kufanya naye Mazungumzo marefu.
Ambapo inadaiwa kwamba ametumia nafasi hiyo...
Habarini wana jukwaa wa JF.
Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu.
1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya...
Hadithi za Kitambo Sana lakini ukweli wake ndio tunashuhudia Leo Hapo Chadema mikocheni
Jaribu kufikiria Pundamilia, Swala, Pofu, NYUMBU, Sungura wataridhiana Nini na Simba Ili wasiliwe
Mlale...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi, amekanusha tuhuma za Shirika la Umeme (TANESCO) kwamba linaidai Zanzibar...
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.