Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Friends and Our Enemies. Nimeona Mjadala kumuhusu aliekawa CAG Ngangari kabisa kuwahi kutokea ndani ya TAIFA HILI ukiendelea mitandaoni hususani hapa JF. Hii imekuja baada ya yale mahojiano...
7 Reactions
102 Replies
2K Views
Nimewaza tu,kama ni kweli kwamba Lisu amegoma kabisa kulamba asali anataka nini basi? Yaani anafanya siasa kwa lengo gani kama lengo lake sio kulamba asali? Kiukweli naona nyota nyota tu🤣🤣🤣🤣🤣
4 Reactions
32 Replies
937 Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na...
7 Reactions
58 Replies
1K Views
Uchaguzi wa Chadema ni Darasa zuri la kujifunza utendaji kazi wa mfumo wa Vyama vingi nchini Kuna Wakati akiwa bungeni mh Lijualikali ambaye sasa ni Mkuu wa Wilaya alilalamima Mishahara yao...
1 Reactions
9 Replies
322 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa...
16 Reactions
117 Replies
7K Views
Wakuu, Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla Kaeni kwa kutulia...
0 Reactions
6 Replies
352 Views
Ushirikiano wa Serikali ya Wazi (OGP) unafuraha kubwa kutangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza Afrika Mashariki, kama Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa OGP. Eyakuze analeta...
2 Reactions
10 Replies
746 Views
Habari wakuu!? Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha...
26 Reactions
114 Replies
5K Views
Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
4 Reactions
20 Replies
574 Views
1. Chauma: chama kichanga na mwenyekiti ni Alhaj. Jee lissu atakiweza? 2. NCCR mwenyekiti ni Selasini, anamjua vizuri Lissu kwamba friji , jee atafanya nae kazi? 3. CCM. CCM ni chama kikubwa...
1 Reactions
12 Replies
412 Views
Watanzania wengi huishi kwa matumaini kwamba serikali itaingia moja kwa moja katika maisha yao na kutatua changamoto zao. Hili limewafanya wengi kulalamikia serikali, wakiamini kwamba ina jukumu...
3 Reactions
16 Replies
474 Views
with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
1 Reactions
3 Replies
197 Views
Heshima sana wanajamvi. Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3% Wajumbe wengi wameonyesha...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Huyu ni mmoja ya Miamba ya siasa kakamavu. Ni jasusi , ni msomi, ni mtu karba ya Tundu Lissu. Inasikitisha hatupo naye tena kwenye Siasa. Najiuliza alipatwa na nini? Amechoka? Yu mgonjwa? Ni...
12 Reactions
69 Replies
7K Views
Baada ya Heche kuongea duru zinaonyesha hawa watu walijiandaa muda mrefu kimya kimya bila Team Mwenyekiti kung'amua. Sasa imepelekea Mwenyekiti na Team yake wapagawe. Mwenyekiti amepagawa hana...
4 Reactions
20 Replies
684 Views
Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani https://youtu.be/HfQqupIGlKM "In the Name of the President: Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana...
2 Reactions
5 Replies
664 Views
Je kwa nyakati hizi za sasa za Polisi, Usalama wa taifa wa kujihusisha moja kwa moja na chaguzi na kunyima demokrasia. Kuna mbinu gani tofauti Mbowe akiwa mwenyeti kwa miaka mitano atazitumia...
1 Reactions
8 Replies
295 Views
Binafsi sikuona sababu ya RC kuwaka hadharani Kwa sababu Gambo ni Mwanasiasa na alichofanya ni Propaganda ya kawaida kabisa Kufanya Wananchi wajue CCM inawajali Kuhudhuria Vikao ama la hilo ni...
14 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom