Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba...
37 Reactions
158 Replies
7K Views
Leo tarehe 15/04/2017 Umoja wa Kizazi cha kuhoji nchini (UTG) umefanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo sakata la kupotea kwa ndugu Ben Saanane (Katibu mkuu wa...
23 Reactions
164 Replies
14K Views
Kwamfano, Nani anaweza kumuamini Dr. Slaa kwasasa au kushawishika na aina ya siasa zake, maoni na mtazamo wake uloshikiliwa na diasporas, Lakini pia maisha ya kisaliti kwasababu tu ya tamaa za...
1 Reactions
34 Replies
851 Views
Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
0 Reactions
11 Replies
416 Views
Na:Abdull Najad Faiq Unapo zungumzia Tanzania huwa ina maana 2 tofauti kulingana na katiba ya Jamhuri Tanzania ni jina lililopatikana baada ya kuungana kwa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar...
0 Reactions
4 Replies
216 Views
Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani? Nimekaa pale 🐼
1 Reactions
3 Replies
260 Views
wadau wa ujenzi nawaomba munipe makadirio idadi ya mbao za 2*2 na 2*4 za kuweza kupaua mapaa manne nyumba yangu ya vyumba 5 na sebule na korido katikati yaani upana feet 24 na urefu feet 38...
0 Reactions
67 Replies
41K Views
Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!. Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani...
2 Reactions
4 Replies
412 Views
Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe. Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake...
0 Reactions
2 Replies
370 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR (2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI" Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa...
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani. Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika
12 Reactions
74 Replies
2K Views
Ukraine imeandikisha mauzo ya bidhaa za Kilimo Nje ya Nchi Zenye zaidi ya Dola bil.24 ikikaribia rekodi ya kabla ya vita mwaka 2021. Wazungu ni watu wenye akili sana.Just imagine vita ilivyopamba...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu. === Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama. Bila kukupotezea Muda naomba...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
2 Reactions
11 Replies
643 Views
Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema. Ameeleza...
72 Reactions
574 Replies
31K Views
Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa...
1 Reactions
5 Replies
363 Views
Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu...
0 Reactions
4 Replies
256 Views
Back
Top Bottom