Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho.
Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada...
Tundu Lisu amesema akiwa Mwenyekiti wa chadema hakutakuwa na Maridhiano wala kualikana kwenye Vikao visivyojulikana
Lisu amesema Uongozi wake utakuwa ni wa mshikemshike wa kudai haki tu
Lisu...
Wanabodi
Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii.
TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani
Jumatano, Januari 08, 2025
By Paschal Mayalla
Japo makala zangu zinajikita zaidi...
Kumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼
Kiukweli Hali ni Tete Sana
Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani?
Au Mzee Mabere...
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)
Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea...
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer...
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii...
Chama Cha Wananchi CUF jana kupitia Baraza Kuu la Uongozi lilimchagua Bi. Husna Abdallah kuwa katibu mkuu wa chama hicho.
Hivyo katika medani za siasa hapa Tanzania, Bibi Husna anakuwa ndio...
Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha)...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama.
"Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati...
Wakuu salam.
Kwa wafuatiliaji wa siasa za Tanzania toka zilivyoanza kuchangamka 1995 mtakubaliana na mimi kuwa Dr. Slaa ni mmoja wa wanasiasa "Contraversial" na mwenye ushawishi kwa muda mrefu...
Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama...
Aiseeh!
Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine...
Wakuu ,kwa wale vijana wetu ambao hawakuwahi kusikia sauti tofauti ya Mwenyekiti wa chama cha Chadema, mwezi huu Mungu atatenda, ukumbuke ya kwamba hawa vijana wakati wa uhai wa maisha...
Na Suleiman Mfua
Katika siku za hivi karibuni ndani ya Siasa za Tanzania kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu nani anayestahili kupewa ridhaa ya kua mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Hoja za Freeman Mbowe na Wenje nilizozisikia mpaka sasa 👇👇👇
1. Lissu hakuwa na dola 10,000 tukamsaidia ili apelekwe hospital Nairobi aliposhambuliwa.
2. Kuna pesa zetu tunamdai tulimsaidia...
Kimsingi, CHADEMA kama chama cha siasa nchini, kina kanda 10 za kiutawala.
Na kanda zote 10 zina viongozi waandamizi ambao wamechaguliwa awamu hii katika uchaguzi ambao ulianza mapema 2023 na...
Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi?
Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka...
Kwavyovyote vile chadema kuna upande hauna nia njema na chama. Wana uhakika kwa asilimia 100 kuwa chadema itapungua nguvu kuelekea October 2025 wakati wa uchaguzi mkuu. Pamoja na kulijua hilo bado...
Wadau labda ni mimi tu lakini sijaelewa ni kwanini nyumba za NHC ni ghali sana ukizingatia kwamba hawanunui viwanja na hawalipi tax.
NHC wanabomoa nyumba ambazo Watanzania wanapanga kwa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.