Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.
Mbowe...
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa...
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris...
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama...
Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
Katika kitabu chake cha In the Name of the President, Ndugu Eric Kabendera ameonyesha kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa COVID-19.
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Magufuli masharti ya watalaam...
Salaam wakuu,
Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana.
Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala.
Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko...
Ilikuwepo Manchester united
Ilikuwepo Barcelona
Ilikuwepo Brazil
Hizi ktk soka zikivuma lkn hivi sasa hazivumi tena.
Kisiasa
Huu ndio wakati wa Lissu kufifia kabisa ktk siasa. Baada yauchaguzi...
Hiyo combination ni sahihi?
Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei.
Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea...
Kati ya maagizo ambayo 'Prfesa Ndumila Kuwili' a.k.a KIBWETELE, alipewa ni kuhakikisha 'anaking'oa' meno MADECHA au anainywesha kinywaji kitakachoikata sauti.
Katika kuhakikisha hilo linatimia...
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein ...
Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.
Huyu amekuwa...
Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua mashauri ya uchaguzi 51 ya kupinga matokeo na mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 na kusimamiwa na Ofisi...
Nimesikiliza Hotuba ya Heche leo akitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA, nimegundua kisiasa Heche ni Mkubwa sana kuliko Lissu ingawa kiharakati Lissu kamuacha mbali sana Heche.
Heche...
Mpaka sasa Halima Mdee wa CHADEMA amepoteza Jimbo lake la Kawe baada ya Askofu Josephat Gwajima wa CCM kumshinda kwa Kura 194,833
huku yeye akiwa naKura 32,524
Nini maoni yako?
Mwandishi wako...
Mimi namtazama Tundu Antipas Lissu kama spirit Fulani ya Uamsho
Ni vema wanaccm huko majimboni mkatafuta akina Tundu Lisu wa Mchongo wawasaidie kuwang'oa akina Jah people nk
Navalonge swela 🐼...
Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo:
1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika...
Si vibaya, mwanzo mwanzoni, kuweka wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania. Lakini, ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za dunia nzima, nikianza na za kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.