Nawaza tu maana sikumbuki uchaguzi ambao Freeman Mbowe aliwahi Kushinda kiushindani Kwenye Chaguzi za Ndani
Hata tulipokuwa Bavicha aliteuliwa tu na Mzee Shanga kuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia...
Wanabodi.
Kama kawaida yangu, kila nikipata muda, nashuka na zile makala zangu elimishi za KMT - "Kwa Maslahi ya Taifa". Mada ya leo ni swali la kitu kinachoitwa "morality": "Je ni lazima kuusema...
Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi...
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama...
Lissu ameulizwa kwanini ameongea sasa kuhusu rushwa za mama abdul na mwanaye anakuja kuongea sasa, amejibu hivi;
Nilihitaji kukusanya taarifa zaidi kabla sijangumza, kabla ya kuzungumza kwenye...
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi...
Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki.
Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia...
Wakuu salamu!
Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake.
Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti...
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe...
Bila shaka yoyote ile sasa ni dhahiri kwamba Ben Saanane alikwishauawa kikatili, na ni dhahiri kwamba Maiti yake ilitupwa (Rejea Kitabu kinachouzwa kwa kasi cha shujaa Kabendera)
Ninaamini...
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale.
Wote tunafahamu raisi ni...
Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ...
Watanzania wengi wanahoji kama Uenyekiti wa Chadema tu ulimtoa Imani na kuondoa Ukomo wa Uongozi itakuwaje Siku akiingia Ikulu?!
Wengi wanadhani ataondoa Mihula ya Rais Kwenye katiba na kufanya...
The 47 Most Prominent Tribes in Africa
1. Maasai (Kenya🇰🇪, Tanzania🇹🇿): Migrated from the Nile Valley between the 15th and 18th centuries AD.
2. Zulu (South Africa🇿🇦): Rose under Shaka Zulu in...
Heshima Mbele,
Mbowe aifilisi NSSF
*Adaiwa milioni 1,200, hataki kulipa
*Atumia sheria kukwepa asifungwe
*Adai iliyokopa ni kampuni si yeye
na mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Chama cha...
Hebu tujiulize Mhe. Mbunge kwa kipindi cha miaka 4 na miezi 6 amefanyia nini makundi yafuatayo.
1. Vijana ( bodaboda, bajaji, timu za mipira, wanavyuo, vijana wa mtaani, na wahitimu wa fani...
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for!
Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.