Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Lissu anavua nguo watu wachache ndani ya chama havui chama nguo kama wewe umepewa rushwa tukikuambia Raidhan (mwandishi wa Jambo TV) umepewa rushwa tunashambulia Jambo TV? tunakushambulia wewe...
2 Reactions
5 Replies
248 Views
Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa...
1 Reactions
3 Replies
213 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la...
4 Reactions
7 Replies
476 Views
Mchakato wa awali wa kura za maoni Rombo katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Rombo umekamilika. Ingawa kura za awali zilizopigwa na wajumbe hazikutosha lakini ili mchakato huu ukamilike ni...
29 Reactions
108 Replies
9K Views
-Naona dalili za hofu na kupanic tu hata kabla hajachukua fomu makumi ya watu wameingiwa na hofu, wivu, hasira na chuki huku mamilioni ya Vijana tukiwa nyuma yake. -Tutaendelea kumpigania na...
7 Reactions
92 Replies
19K Views
Habari wana jamvi. Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya...
2 Reactions
131 Replies
11K Views
INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie...
0 Reactions
8 Replies
328 Views
"Naelekea Bungeni" Ndugu marafiki zangu wa karibu na wa mbali, Baada ya kupitia taarifa ya kamati za kiutafiti iliyokamilisha kazi yake jana kutoka jimboni mniwie radhi kwa kukawia dakika kadhaa...
112 Reactions
509 Replies
48K Views
Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote...
0 Reactions
35 Replies
714 Views
1. But, according to details gathered by The Guardian on Sunday, including emails sent between October 5 and 10, this year, the IT specialist is one, Rashid Shamte, who has a very strong...
6 Reactions
71 Replies
28K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, japo mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa Chadema, japo kuandamana na mikutano ya kisiasa ni haki iliyotolewa kihalali...
27 Reactions
421 Replies
41K Views
Waziri Masauni yupo yupo tu. Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa. Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu. Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu. Sasa hata...
12 Reactions
99 Replies
4K Views
Uchaguzi wa Bavicha ndio joto linaanza kupanda.Ni jambo la hatari sana kuwa na mtu kama Ben Saanane kwenye nafasi ya juu ya BAVICHA.Tumeamua kuitendea haki BAVICHA na sasa kanuni za uchaguzi...
2 Reactions
91 Replies
11K Views
ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa. Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu, niliweka taarifa kwenye mitandao ya kijamii hususan hapa Jamiiforums juu ya Mkuu wa Sera na Utafiti CHADEMA, Ben Saanane kununuliwa vitendea kazi kama simu, kompyuta...
25 Reactions
158 Replies
22K Views
Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa Chadema, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi...
6 Reactions
206 Replies
38K Views
Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Nitafanya mambo matano muhimu. 1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao...
24 Reactions
101 Replies
2K Views
Back
Top Bottom