Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI...
UHAMIAJI WALIOSHUGHULIKIA SUALA LA KABENDERA WACHUKULIWE HATUA
By Unknown06:47TOA MAONI YAKO
KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emmanuel Nchimbi kuchunguza tukio la kusumbuliwa...
Wanabodi,
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza...
Wakati mwafaka wa kufanya uchaguzi wa ndani wa Chadema utategemea mambo kadhaa, lakini kwa kuzingatia muktadha wa kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025, ni bora uchaguzi wa ndani ufanyike baada ya...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Shinyanga Mh Ntobi amesema Chadema iliasisiwa 2019
Ntobi hajarekebisha Kauli licha ya Wajumbe kuguna
Chadema Kuna vituko sana 😄😄
Mimi niliingia Chadema 1993...
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee...
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!!
Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila...
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani
Soma taarifa hii uone polisi...
Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali...
Kamanda Mambosasa anasema:
Erick Kabandera alikamatwa nyumbani kwake baada ya kukataa wito halali wa Jeshi la Polisi
Awali aliandikiwa barua ya wito ajili ya mahojiano lakini alikaidi kutii wito...
Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.
Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya...
Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo
Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...
1. Kujihusisha na mtandao wa...
Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe,
Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa...
Huyu kijana anaitwa Clinton, na kulikuwa na taarifa humu siku chache zilizopita kwamba amepotea na hajulikani alipo.
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba amepatikana akiwa hoi bin Taaban huko...
Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
---
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto...
Wiki iliyopita Msemaji wa Serikali ya Tanzania alitembelea ofisi za Mwananchi na kupokelewa na kiongozi wa gazeti hilo
Je huu ndio Uzushi Waliokubaliana kuuandika kwenye gazeti lao?
Ni wapi...
Chadema kinashuhudia minyukano ya wazi na hatarishi mno tokea kianzishwe. Unaweza kusema pasi na shaka, sasa kuna Chadema mbili. Mosi, Chadema ya Mbowe. Na pili, Chadema ya Lisu.
Chadema hizo...
Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali.
Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje...
Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali .
Alisema huko ndani Chadema kunawaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.