We really are scraping the bottom of the barrel with our beloved country, when it comes to how it is run!
Nothing ever seems to go right. Just when you think maybe this time we’ll get it right...
Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
Watanzania wengi wanampenda Magufuli kupindukia. Sababu kuu nadhani ni ushamba na roho mbaya. Wengi ukiwauliza kwanini unampenda Magufuli atakuambia jamaa ni mchapa kazi. Kama kufanya maendeleo...
Kwenye uzi huu
Uchaguzi 2020 - RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"
jana nilikuwa...
Wanadodi
Nimesikia nia ya kuandaa mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema.
Huu ni uzi wa swali la ushauri wa bure kwa Chadema, Je wakubali au wasikubali mdahalo wa wagombea Uenyekiti wa Chadema...
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa...
Sasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi.
Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini.
Vyombo viendelee kumonitor transactions...
Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya.
Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi...
Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3...
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..
kwa mfano,
kwa sapoti kubwa...
Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais...
Wanabodi,
Mapungufu ya uchaguzi yapo, na yamekuwepo kwa muda mrefu sasa. Mapungufu haya kwenye chaguzi yoyote huanza kwenye kuboresha daftari la wapiga kura mpaka hatua ya kuhesabu kura.
Kwa...
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi...
Nafikiri watu wengi mnakumbuka yule mwandishi wa habari miaka ya themanini na tisini marehemu stan Katabaro,alikuwa ni mwandishi mahiri kwa miaka ya leo hana tofauti na Saed Kubenea,Johnson...
Habari JF,
Mwezi March mwaka 2021 tulimpoteza moja ya Kiongozi Bora kuwahi kutokea katika Taifa letu.
Lakini Sasa hivi ni kama Mwaka na Nusu lakini huyu Kiongozi ni kama kaondoka Juzi, yaani...
Habari JF,
JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu...
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni...
Habari,
Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.