Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa...
John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi.
Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana...
“MAGUFULI ALICHELEWA KUWA RAIS WETU.”
Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5...
Enzi za (JPM) hata aliyekuwa kilaza wa siasa, alivuma
Enzi za JPM, kila raia alikuwa akitamani kushinda kwenye luninga akiangalia matukio ya siku hiyo
Huku mzee wa kuwasukuma ndani aliyekuwa...
Wanabodi,
Wanawake visiwani Zanzibar wenye sifa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura katika zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Febuari Mosi...
Wakuu,
Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.
Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na...
Ni Leo saa 3 Usiku kutakuwa na Mjadala wa uchaguzi wa chadema kwenye Kipindi cha Chief Odemba Star tv
Wanaccm Kote nchini ni muhimu Kufuatilia Mjadala huu kwa makini kwa Faida ya siku za baadae...
Natoa pemdekezo viongozi wote wastaafu walio kuwa high level waongezewe ulinzi.
2025 ni mwaka wa uchaguzi hawa wazee wana nafasi kubwa kwenye maamuzi magumu ya uchaguzi hawatopendelea ila...
Niaonayo yanayoendelea hapa Tanzania uko mbele urais wa Tanzania utakuwa kitu cha kawaida na utakosa thamani .
Kwa sasa urais wa Tanzania ndio unatafuta umaarufu badala ya umaarufu kuufuata urais...
Wengi tunafahamu mgombea wa CCM ameweza kuwafikia watanzania wengi kwa kutumia usafiri wa gari.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna changamoto kubwa kutumia gari kupita katika vijiji na miji yote...
Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika...
Nimemsikia mgombea wa CCM akitoa ahadi ya kuwawezesha vijana hasa wanaomaliza vyuo vikuu kupitia mikopo au ruzuku ili waweze kujiajiri.
Hii ni sera ya muhimu sana katika kutatua tatizo la...
UKAWA tunaomba list ya majina ya wajumbe waliopendekezwa au watakaopendekezwa kuingizwa kwenye viti maalum vya ubunge.
Mwaka 2010 kitila Mkumbo aliongoza timu ya kuandaa majina hayo na...
Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote.
Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote...
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika...
Nimepita maeneo ya mianzini jijini Arusha kuna kampeni ya chini kwa chini yenye kupeana hamasa kuwa wanachadema asilia waliojitolea kupigwa risasi na mabomu pale Soweto kwa ushawishi wa Ufuasi wa...
Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe...
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza...
Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.