Habari jf , binafsi kama Sukuma Gang na mfuasi wa falsafa za hayati Magufuli kwa akili yangu nimeamua kumuamini Rais wangu mama Samia .
Hii ni baada ya kufanya tathmini na kugundua Rais Samia ana...
Watu wamesikia tu Kabendera kaandika kitabu wanaanza kukijadili.
Nadhani ingekuwa bora kusubiri wakisome kwanza hicho kitabu.
Sasa hivi Serikali itakuwa inafikiria ichukue hatua gani kuhusu hicho...
Naamini katika Bilble naamini Mungu ni Alpha na Omega nilichukizwa watu walimfananisha Magufuli sawa na Mungu ,Yeyu pamoja na mitume mingine nilichukizwa na nilisema wanamchonganisha Magufuli na...
Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima...
https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm
Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi
Alikuwa kwenye ziara na wananchi...
Utangulizi
Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa.
Hapa chini...
Unaweza usielewe sasa Lakini Tundu Lisu anaondolewa Chadema Ili asiweze kuzuia biashara ya KITI Cha mgombea Urais kama alivyofanya 2020 kuzuia bilionea Nyalandu
Je, ni mwanaccm gani huyo...
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa...
Wanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan...
Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu...
Wakuu,
1. Kwagilwa Reuben Nhamanilo – Mbunge wa Handeni Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alipata kura 15,241, akimshinda Thadeo Joachim...
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM...
Kwanza, nataka kukiri kwamba sijakisoma kitabu hicho, lakini kupitia nukuu mbalimbali za mitandaoni, kidogo nimeweza kupata muhtasari wa kilichomo ndani yake.
Katika suala hili la kitabu cha...
Kama alivyoandika Kabendera ni kweli basi Mbowe na Wenje wasigombee Uchaguzi wa Chadema wawaachie majasiri wawili waliomkabili Shujaa Magufuli bila kumuogopa
Mbowe na Wenje waliohama nchi kwa...
Wanabodi,
Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine
====================================================...
Hawa ndio wanadamu!
Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania...
Wanabodi,
Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly.
Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.