Wakuu,
Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea
=====================
Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na...
Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu fikirishi za KMT, Kwa Maslahi ya Taifa。Somo la leo ni la kitu kinachoitwa “Kibali”。
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada...
Tunaweza kusema Pasi Na Shaka yoyote kwamba Kwa Sasa Huu unaweza kuwa ni wimbo ambao unaimbwa Sana Na wale tunaoikumbuka Kazi ya Shujaa huyu wa Afrika.
Na hili halijifichi Hasa unapowazungumzia...
Kwa sasa hivi na muda huu kuna miradi ya barabara inatekelezwa na wachina jiji zima la Dar es salaam.
Niitaje:
-Airport -KAMATA/Aggrey st.
-Bibi Titi Rd
-Ali Hassan Mwinyi rd
-Morrocco-Mwenge rd...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM
Mwaka 2020 Kayombo...
Wakuu,
Hadi nimecheka :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: oyaa napita hapo dk 0 kwenye gari aina fulani, fanya kunipiga mkono:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:.
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli.
Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya...
Kitabu cha Eric Kabendera kisizuiwe acha kiuzwe Ili Wananchi wapate ufahamu wa aina ya Waandishi wa Habari wa Tanzania
Hiyo story ya Magufuli kumpiga Risasi ya kichwa Ben ofisini ni story...
Wanabodi,
Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili.
Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka.
Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004...
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema Katika nafasi zote za uongozi pale Chadema hakunaga Ukomo wa Uongozi
Lakini mimi nafahamu Bavicha Wana Ukomo Kwa kigezo Cha umri na hii siyo Sawa
Umri wa...
Posted on January 1, 1990 by editor
Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC...
Kuna interview Lissu aliifanya kama si Clouds Tv basi ni Global Tv kwenye hiki kipindi cha kugombea uenyekiti wa chadema Global Tv, alisema kuna kiongozi mmoja wa Dini alimpigia Simu Kumuomba...
kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa...
Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.
Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani...
Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province...
Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa chama cha Mkoa wa Mwanza, Abbas Mayala amewatahadharisha wanachama, wafuasi na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa juu katika chama hicho kuepuka kutafuta...
Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.