Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM
Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha...
Wote wanaomchafua Hayati Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli ataendelea kukumbukwa vizazi na vizazi.
Historia inaonyesha mtu aliyeacha legacy hazuiliki. Erick Kabendera, askofu...
Najua ni kosa la jinai kuwakosoa lakini nadhani haya ni mapungufu yasiyohitaji Katiba mpya kuyarekebisha. Lissu amehutubia taifa kupitia YouTube, Spaces na Clubhouse kama sijakosea, lakini akaunti...
Yanayotokea Libya yanawatia taabu baadhi ya wakuu wa vyuo huko Ulaya. Kwa mfano huu;
The director of the London School of Economics (LSE), Sir Howard Davies has resigned over its links to Libyan...
Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS...
Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.
******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"
Freeman Mbowe: "Katiba...
Ukomo wa Madaraka ni Mjadala mzito katika kipindi hiki cha mchakato wa Uchaguzi wa CHADEMA.
Mchokoza Mada, Mh. Tundu Lissu katika hotuba yake tarehe 12/12/2024 aliiweka vizuri sana kwa Viongozi...
Katika eneo hili la Madai ndipo namuunga mkono Mbowe awepo Mpaka akomboe Fedha zote alizoikopesha Chadema
Haiwezekani Chama kikuu Cha Upinzani kiishi kwa kutegemea fadhila za Mwenyekiti
Ndio...
Habari,
Nikiri kwa kusema yote yasemwayo kwa sasa yana asilimia kubwa ya uongo kuliko uhalisia. Na shida kubwa ni kutafuta neutrality ili watu waone mtu wao waliyemkubali na kumpenda alikuwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni...
Ustaadh Yasin wa Taqwa masjid anasema kama Chadema hawatasimama sawa sawa Kifo Cha Meddy Kibao ndio Mwanzo wa Mwisho wao
Ustaadh Yasin anasema kitendo cha Chadema kushindwa kumfanyia hata Hitma...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Kwa Maslahi ya Taifa,
Leo Kwa Maslahi ya Taifa ni uwezo wa Jeshi letu la polisi ku deal na hawa watu wanaitwa *wasiojulikana", maana sasa...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amefufua upya tuhuma za ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), huku...
Mambo ni moto
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa...
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa...
Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola?
Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini?
1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe...
Kiongozi wa Chadema mkoani Songwe Mh Mdude Nyagali amesema Tundu Lisu aliombwa kujiunga Chadema baada ya kuwatetea Bila Malipo wanachadema waliokuwa Magerezani wakati wa Utawala wa Mkapa
Lisu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.