Nimetafakari sana nimeona namna pekee ya kukinusuru chama rafiki CHADEMA ni Lissu kukubali matokeo na kumuunga mkono mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe mara baada ya uchaguzi wao...
Kulikuwa na mjadala na bado unaendelea CH kuhusu kitabu tata cha Kabendera
Kwamba mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio yale yale yatakayotuletea Magufuli mwingine hapo mbeleni...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa...
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.
Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali...
Hii nchi kama Kuna Viongozi wasioyumba kikauli basi ni Mzee Kinana wa CCM na Shehe Ponda wa BAKWATA
Na Kiongozi pekee wa siasa asiyeishi na nongwa moyoni mwake ni Freeman Mbowe mnyasa wa...
Great Thinkers,
Naomba tulitazame suala hili kwa umakini.
Jumamosi iliyopita, Mbunge Zitto Kabwe alitoa taarifa kwamba amepata taarifa juu ya kuwepo operesheni maalum ya kutaka...
Nimeshindwa niweke wapi hii comment, JF mnaweza unganisha na uzi wowote.
Tukio la Janeth Magufuli kulazwa Muhimbili Novemba 2016 linapaswa kufafanuliwa kwa muktadha wa ukweli na uwazi. Huwa...
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda...
Haina haja ya kutafuta Mchawi Mh Freeman Mbowe abakie kama mshauri wa Chama ameshachoka
Freeman tuletee Wakili Msomi Nicole tuhangaike naye Siasani Wewe sasa ni Babu 😂😂😂🔥
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa...
Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri.
Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo...
Wanabodi,
Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni...
Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu.
Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja:
Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha...
Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama...
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba...
Hongera sana Engineer Fatma Kara, Samia Foundation na Team ya Quality Builders kwa mwanzo mzuri sana. Naamini hakuna mwengine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan...
Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau?
Au mnangoja yapande ndio mlaumu?
Mkijua kulaumu mjue na kupongeza.
Mama mpaka...
Kama unabisha endelea kubisha lakini juzi Kuhani Mussa kapokea Mchango wa Rais na kutoa baraka zake za kikuhani
CCM inatumia misingi ile ile iliyowekwa na Shujaa Magufuli na kwa Bahati nzuri this...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu hizi za 'Kwa Maslahi ya Taifa" nikiandika kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi ua kijamii kuhabarisha, kuelimisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.