Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo...
-4 Reactions
13 Replies
333 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ametolea ufafanuzi madai ya baadhi ya watu wanaoishutumu TBC kwa kutovialika baadhi ya vyama vya upinzani, ikiwemo...
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani. Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe amesema amekuwa Kiongozi kwa miaka 30 na Sasa ni Kiongozi mkuu wa chama kwa miaka 20 hajakurupuka Mbowe amesema kashfa ndogo ndogo haziwezi kumtoa kwenye...
2 Reactions
11 Replies
496 Views
Viongozi wa Tanzania waliopo na waliopita wamepachika au wamepachikiwa majina yao kwenye mali na miradi ya nchi, hili jambo halina maana wala tija yoyote ile. Kwa mfano, si sawa kwa stendi ya...
29 Reactions
258 Replies
11K Views
Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu. Nafikiri...
19 Reactions
103 Replies
9K Views
Naomba kujuzwa kama CCM ina mwanasheria mkuu na kazi zake ni gani na gani? Mlale Unono 😀😀😀🔥
1 Reactions
14 Replies
378 Views
Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija...
2 Reactions
5 Replies
443 Views
Serikali kwa kushirikana na sekta binafsi imendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani wa mbegu bora za mazao ambao umeongezeka kutoka tani 42,096.68 msimu wa 2022/2023 hadi kufikia tani 56,114 msimu...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mpo Salama! Watanzania wengi wametoka na kulelewa kwenye jamii nyingi zinazomini na kufundisha kuwa MKUBWA HAKOSEI. Watanzania wengi wanaamini ukishakuwa Mzazi wewe tayari ni Mungu hivyo hukosei...
4 Reactions
15 Replies
542 Views
CHADEMA imejengwa na kujengeka lakini kwa upande wangu naona kuna matatizo haya. Wagombea wanaopendwa hawana fedha kitu ambacho huwanyima wagombea wazuri kupata nafasi na hatimaye kumpa nafasi...
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Friends, ladies and gentlemen. Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa...
11 Reactions
192 Replies
4K Views
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU. Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio...
5 Reactions
41 Replies
11K Views
Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana. Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule. Yaani Halali au...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha...
2 Reactions
12 Replies
443 Views
Waziri wa mambo ya ndani atafanya mahojiano katika kipindi cha Clouds 360 na watangazaji wanadhamiria kumuuliza juu ya matukio yanayofanywa na watu wasiojulikana. Wale mlio majumban mkiangalia...
13 Reactions
425 Replies
90K Views
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama hicho imewakumbusha Wanachama wote wa Chama hicho kulipia kadi zao ili kuwapa uhalali wa kushiriki vikao muhimu vya Chama chao ifikapo January 21 Zaidi Tangazo...
0 Reactions
11 Replies
260 Views
Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds...
32 Reactions
288 Replies
30K Views
Back
Top Bottom