Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita. Nakumbuka Rais Samia...
23 Reactions
98 Replies
4K Views
Nimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben...
2 Reactions
15 Replies
640 Views
Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa. Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina...
34 Reactions
105 Replies
2K Views
Uchaguzi ndani ya CHADEMA, umesimamisha mijadala ya vyama vingine vyote, hii ndio maana halisi ya chama chenye nguvu ndani ya nchi, japo hakiongozi Serikali
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura
4 Reactions
18 Replies
742 Views
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo...
43 Reactions
231 Replies
11K Views
Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
4 Reactions
13 Replies
398 Views
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa...
1 Reactions
14 Replies
500 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
3 Reactions
12 Replies
855 Views
𝐓𝐋𝐒 𝐘𝐀𝐋𝐀𝐀𝐍𝐈 𝐑𝐔𝐒𝐇𝐖𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 U𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 WA 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 WA 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetoa tamko rasmi kulaani vitendo vya rushwa vinavyoendelea katika uchaguzi wa ndani wa...
2 Reactions
15 Replies
506 Views
Wakuu, 1. Isack Francis Mtinga - MBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI Tarehe ya Uchaguzi (2020): Alipata kura 35,457 Elimu Shahada ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine (1999-2003)...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa...
47 Reactions
402 Replies
73K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
0 Reactions
7 Replies
502 Views
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ? Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ...
10 Reactions
88 Replies
2K Views
Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi...
0 Reactions
2 Replies
239 Views
Ikumbukwe mwaka jana yalitokea mauji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo kule Iringa. Sasa basi, kutokana na kuuliwa kwa dada yule, Viongozi mbalimbali wa CCM Mkoani humo wanashikiliwa na...
1 Reactions
7 Replies
422 Views
Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Updates Washtakiwa wanne kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo wamehukumiwa adhabu ya kifo baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya...
9 Reactions
61 Replies
13K Views
Back
Top Bottom