Huu uchaguzi haukupaswa kusimamiwa ngazi ya kitaifa kupitia TAMISEMI kama vile ambavyo imekuwa inafanyika au hata kupitia Tume Taifa ya uchaguzi kama ambavyo CHADEMA wanahitaji kuwa hivyo.
Huu...
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe...
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.
Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka...
Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM..
Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili.
Mwenyekiti...
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Bado twaendelea na nyuzi za mwezi 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kama tulivyoandika awali kuhusu lundo la watu kukamatwa na kupewa kesi nzito za Uhujumu uchumi , Baadaye watu hao wakapewa option ya...
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.
Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga.
Mitungi ya gesi ya kilo 6
yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei...
Wakuu
Uchaguzi unapamba moto
==
Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine
Hali imekuwa tofauti...
Wanabodi,
Baada ya rais Magufuli kuombea malaika watoke mbinguni kuja kuifunga mitandao ya kijamii yenye uongo na Uzushi kama humu jf, wana mitandao wote resiponsible hatuna budi kuunga mkono...
Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa
kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist...
Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba...
Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima...
Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua...
Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu...
Kiukweli hapa Kawe hii nyomi Sijawahi kuiona popote Dar es salaam
Watu ni wengi wengi mno
Nadhani asubuhi kutakuwa na foleni sana barabarani
Wengine Wana kanzu na baragashia Jami ya akina...
Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na...
Hii ni picha halisi.Hapo ni wodini,hospitalini. Hivi ndivyo tunavyothaminiana linapokuja suala la afya.Tumeshafika.Sasa tusijiulize tena kwamba tumefikaje hapo.Cha kujiuliza sasa ni jinsi...
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.