Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema. Hivyo Mimi naona...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Ukiangalia wanasiasa wetu nchini, wengi, ima ni wababaishaji au watu waliofeli katika karibu kila jambo. Je ni kwa sababu siasa huwa haina miiko kama vile viwango vya elimu, uadilifu, uzoefu na...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Kama sifa zingefanya binadamu aishi milele, kama kupewa majina yenye sifa kama mtukufu, mpendwa, mbeba maono, Daktari bingwa, profesa, msafi, msikivu, mpendwa, mwenye elimu sana kuliko hata...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
On the 12th of July 2017 at Serena, JamiiForums in collaboration with The Collaboration on International ICT Policy in East and Southern Africa (CIPESA) hosted a stakeholder’s event with the theme...
24 Reactions
117 Replies
15K Views
Zitto Kabwe aliletwa Chadema na Mh Mbowe akitokea pale The Hill akiwa Kiongozi wa Daruso Akiwa Chadema Zitto Kabwe akapata Ubunge wa mapema Kabisa, akawa mkuu wa Bavicha na baadae Naibu Katibu...
3 Reactions
12 Replies
446 Views
Wanabodi, Watanzania wanajua wanavyotawaliwa na walivyotawaliwa. Kuna mambo yaliyofanywa au kufanywa na baadhi ya viongozi wetu yanatia shaka kuhusu utimamu wao kiafya hasa upstairs. Haya ni...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Hongereni na mwaka mpya. Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024. 1. Hussein Bashe - Kilimo 2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii. 3. Jerry Silaa...
1 Reactions
71 Replies
2K Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
32 Reactions
164 Replies
5K Views
Kwa maoni yangu, Lissu angejikita katika kujiimarisha katika kugombea nafasi ya urais (japo asingeshinda). Hata watu wake wa karibu wanasema Lissu ana nguvu sana nje ya chama kwa wananchi wa...
2 Reactions
16 Replies
317 Views
Chachage wakati anaandika kitabu chake cha makuwadi wa soko huria alijua kila kitu kina mwanzo na mwisho ila leo naumia kila ninaposoma kitabu hicho aliona mbali lakini hakuna namna ya kusema...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu, Moshi umeanza kufuka taratibu, maneno haya si mageni kwetu Gerson Msigwa. Hivi ndivyo Magufuli alivyosema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 Uchaguzi 2020 - Rais Magufuli: Uchaguzi 2020...
2 Reactions
9 Replies
352 Views
CHADEMA inapoelekea kwenye uchaguzi wake ngazi ya Taifa, ni muhimu sana kusikiliza kwa makini, kuzingatia, kuyashika na kuyafuata mawaidha na nasaha za mzee Azaveli Lwaitama kuhusu demokrasia ya...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Man'gana ghasarikile. Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa...
13 Reactions
66 Replies
2K Views
Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa...
3 Reactions
15 Replies
318 Views
Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe...
10 Reactions
17 Replies
550 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali...
3 Reactions
149 Replies
2K Views
Awa ni wajumbe wa Njombe 14 kati ya 21 waliojitokeza kumuunga mkono Lissu. Mpaka sasa Lissu ameshachukua uenyekiti Njombe bado kuapishwa tu.
1 Reactions
3 Replies
202 Views
Huyu jamaa huwa nilianza kumtilia mashaka na uwezo wake juu ya uandishi wa vitabu vyake, hasa pale baada ya kushindwa kuchochechea mijadala ya uchaguzi ndani ya CHADEMA, yeye Kama ni miongoni...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Back
Top Bottom