Wanabodi
Mara ya mwisho, mchakato wa kupata katiba mpya bungeni ulikwama kwasababu ya wabunge wa chama tawala na wa vyama vya upinzani kushindwa kukubaliana kuhusu muundo wa serikali. Yaani...
Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto.
Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi.
Hii...
Wakuu,
Kash kash zimeanza rasmi sasa!
=====
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4...
Wanabodi,tayari Mh. Lissu na Mh. Mbowe ni miongoni mwa wagombea katika uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa.
Hao wawili kwa umaarufu wao wamesababisha vuta nikuvute mitandaoni na vijiweni.
Sasa...
Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja...
Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC.
Barabara hii yenye...
Tupo Salama bila Shaka!
Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji.
Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo...
Tundu Lisu anesema Hayati Mohamed Kibao alikuwa Mkuu wa Hamasa wa Chadema
Makamanda naomba kuelimishwa KAZI za Mkuu wa Hamasa ni zipi hapo Chadema
Happy New Year 😄
Heri ya Mwaka Mpya 2025!
* CHADEMA mnashindwa kuelewana katika uchaguzi wa ndani
* CHADEMA mnashindwa kuzungumza lugha moja ya kidemokrasia;
* CHADEMA mmeonesha udhaifu kwa kutangaza mambo yenu...
Hakuna wakati ambapo uchaguzi wa Tanzania ungekuwa mwepesi sana kwa wapinzani kama uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Ni wachache mno wanaoridhishwa na serikali hii ya awamu ya sita, kati ya hao ni...
Lissu ameanza kutoa milio.
Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula...
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete...
Mh Mkapa alikuwa akikujuwa unamzunguka anakuweka karibu then unapotea wakati ulila asali..
Mh Kikwete alikuwa anakuwa karibu na wewe mnakunywa chai ukizidi anakutumia watu na mwisho unapotezwa...
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza...
Safari inaendelea. Vitisho.Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku.Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi .Yeye anaandika " Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
Mkoa wa Ruvuma. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa...
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016.
Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe. Makao makuu yako Vwawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.