Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama...
Nape Nnauye aliposimama mbele ya bunge na kuhoji matumizi ya mkopo wa Dola bilioni 9 uliokopwa na serikali ya awamu ya tano, Wabunge baadhi waliduwaa na wengine wakagonga meza, walikubali...
Hii ni kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa chadema, tulimsikia akidai chadema kwa sasa haina fedha, hata za uchaguzi.
-Hekima ni uhairishwe ili pia bwana mbowe anusurike 😁😁😁
#savembowe
#helpmbowe...
Happy New year Wakuu!
Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua.
Wasiwasi wangu unaenda mbali...
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano...
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika...
Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama.
Ghafla maswali...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu...
Tuna raslimali nyingi sana kama madini lakini vinatufaidisha kwa kiwango cha chini sana.Hatuna mitambo ya kuchimba madini hayo,hatuna vifaa vya kisasa kwa ajili ya kilimo,vyote tunaagiza nje,ila...
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake...
Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni:
Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba...
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja...
Jamani mimi nasema wale tunamsema vibaya Mh Rais nakumbeza mnaleta laana kwa wale tunao ona haya mambo mazito anayatenda. Kwa hakia siwezi kuweka adharani ila Mh Rais Magufuli ni zawadi ya Mungu...
Kumekuwa na hali mbaya sana ktk taifa jambo ambalo kwa wenye busara zetu nilazima tuseme.
Kwanza niseme rais hajakataa kukosolewa ila aina ya vile watu sasa wanamkosoa rais haijawahi tokea popote...
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATES...
Sikiliza hotuba za wanaCCM wanaopiga kelele kitaluni kukosoa miradi ya Magufuli kisha nenda katafute file zao ndipo utagunduwa this time akili kubwa ipo ikulu na akili ndogo zilizobebwa mpaka...
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake...
DEMOKRASIA NA NCHI MASIKINI
Leo nakuja tena na hii mada.
Kwanza ijulikane kuwa hakuna nchi masikini imewahi endelea ikIwa chini ya demokrasia. Ukifutilia historia utaona kuwa hakuna nchi imewahi...
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.