Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama...
Benki Kuu ya Tanzania imesema Kwa mujibu wa kifungu 16(1) cha sheria ya Huduma mdogo za Fedha ya mwaka 2018 ni Kosa Kwa Kampuni, Mtu au Taasisi kujihusisha na biashara ya kutoa Mikopo bils ya kuwa...
Wakuu
Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilayani Rufiji Pwani imewaonya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM walioanza kutangaza nia na kufanya kampeni za chini kwa chini kama ishara...
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.
Wale polisi wa ostabay (wanne) na...
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa...
Wakuu,
Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini
==========
Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki...
Nafahamu kuwa watu wengi wako nyuma yako na unapendwa sana lakini ukumbuke uchaguzi unaokuja utashindwa kwa mizengwe. Wewe kuubali yaishe na uendelee kuijenga CHADEMA.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atoa mapendekezo ya uchaguzi huru na haki katika ngazi ya chama hicho unaotarajiwa kifanyika mwezi huu wa Januari 2025.
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua...
Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa
Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa!
Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu...
Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?
Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.
Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja...
Hata Freeman Mbowe sijamsikia akimsimanga hayati Magufuli zaidi tu utawasikia hawa sisimizi wa Ufipa st ndio wanarefusha midomo
Wazee walioaminiwa na nchi hii na kushika nafasi nyeti japo baadae...
Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa...
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.
Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.
Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni...
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu...
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa...
Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na...
1. Team TAL wafuasi/mashabiki wake wanapima integrity na Ethics yake kwa kutumia KIWANGO CHA UKUBWA WA KUWALAUMU/KUWASINGIZIA/KUWABAGAZA WENZAKE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA kama aliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.