Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi
Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe!
Ni imani yangu kuwa barua...
Hana uchungu na chadema, na huenda hata kadi yake ya uanachama hajailipia kwa kipindi kirefu sana.
Infact, Kibaraka ni mchoyo na mbinafsi asiependa kutoa bali kupokea tu, tena kwa kuombaomba...
MUACHENI NTOBI AWE NTOBI! 🤣
https://x.com/Ntobi_/status/1874401704751296703
Sisi wasukuma, hasahasa wale wanaotoka viunga vya himaya ya Mkuu Ntobi, ni watu tunaopendelea sana utani na ukituvagaa...
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje?
Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.
Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika"...
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-
* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;
* Kuamini kuwa...
Kuna maswali mengi yanayozunguka suala la utaratibu wa kisheria unaohusiana na kukodishwa kwa bendi ya Chuo cha Polisi Moshi ili kuperform kwenye maeneo ya burudani kama vile bar za watu binafsi...
Huyu Wenje amejidhihirisha kuwa ana kazi Maalum ndani ya CHADEMA.
Kwanza yeye ndiye kamleta Abdul CHADEMA. Mivurugano yote unayoiona kwa Sasa imeletwa na Wenje baada ya pesa za Abdul kuingia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama...
Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama...
DODOMA: WATUMIAJI wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini wameuanza mwaka mpya wa 2025 kwa shangwe ya kuendelea kupata unafuu bei za bidhaa hizo kwa mwezi Januari 2025.
Taarifa iliyotolewa na...
Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa...
Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti...
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya...
Hata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo.
Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu...
Makamu Mwenyekiti wa chadema Mh Tundu Lissu amewataja akina Nguesso, Biya, Kagame na Museveni kama vinara wa ung'ang'anizi wa madaraka barani Africa
Aidha Kwa Tanzania Lissu anesema Wapinzani...
NAMTUMBO -RUVUMA
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele.
Kutoka na maisha ya mjini...
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu...
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .
Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.
Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi ...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.