Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
Jeshi la Polisi limeendelea kuandamwa na matukio ya kuua raia baada ya askari wake wanne, akiwamo Mkuu wa Kituo (OCS) kukamatwa kwa tuhuma za kuvamia nyumba ya kulala wageni, kujeruhi, kupora mali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwautubia Watanzania kwa Salamu za Mwaka Mpya Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 31, Disemba...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
Leo saa sita mchana, wananchi wa kijijina kata ya mtimbwilimbwi, tarafa ya nnyamba, mtwara vijijini, walifunga barabara kutoka mtwara kwenda tandahimba na newala, wakiwa wanaishinikiza serikali...
Mama Mzazi wa Mtoto Theresia John (18), Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Lulembela Mkoani Geita ambaye ni kati ya Watu wawili waliofariki kwenye vurugu za jana Kijijini hapo...
Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali...
https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar...
Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye Kitaaluma ni Mwanasheria anesema Katiba ya CHADEMA inakataza Kabisa Wagombea kutoa fedha wakati wa uchaguzi Kwa sababu yoyote ile
Aidha Katiba imekataza kutoa...
Huu mwaka utakumbukwa has a kwa tukio la makosa ya kisiasa aliyofanya Tundu Lissu.
Kosa hilo ni kuibomoa kabisa taasisi kisha anatarajia akalale humo. Hatapata pa kulala kwa kuwa jengo...
WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI
Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada
Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho...
Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia.
Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia...
Katika moja ya mambo ya maridhiano baina ya Chadema na Mhe.Rais ilikuwa inahusu wafungwa wa kisiasa, Chadema waliomba mchakato wa kisheria uweze kufanyika ili watu wao waliokuwa magerezani...
Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.