Chadema ina wanachama Laki 4 Tanzania nzima wameshindwa kuchangishana elfu kumi kumi Ili mkutano ufanyike?
Tukubali tu Ukweli Chadema ni Mali Binafsi ya Mbowe kama lilivyo Gazeti la Tanzania...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera...
Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli.
Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi
===================
Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia...
KADA wa CCM mchungaji Msigwa hivi karibuni atazungumza na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi uwongo mwingi aliozungumza Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje
Taarifa Ukurasani X...
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti...
HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
TAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA...
Hivi kweli Kuna mtanzania hata Mmoja ANAE mwamini Dr Slaa na Tundu Lissu kwenye ungano lao la kumg'oa Mbowe chadema linatija kwa Taifa?
Kama kweli mpo nawaweka madhabauni kwa bwana Mungu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika akizungumza na wanahabari mchana wa siku ya Jumamosi Septemba 7, 2024 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam amesema kuwa...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana...
HISTORIA YA MKOA WA TANGA
Mkoa wa Tanga ni moja kati ya mikoa 31wenye eneo la 27,348 km² na upo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa...
HISTORIA YA MKOA WA MANYARA
Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la...
UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA
Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
Ndugu vijana wenzangu!
Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende...
Ndio taarifa za Wazee wa Kikinga kabla hawajaondoka mahakamani jana kuelekea Lupila Makete kwa tambuko Maalum
Wazee hao wamemshukuru sana Mdude Nyagali kwa jinsi alivyompambania George Sanga na...
Wakuu,
Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu.
Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.