Kwa mujibu wa jarida maarufu la Uchumi na Biashara Duniani la global Finance,limeitaja Tanzania kama Nchi inayoibukia kuwa mbabe wa Uchumi Kwa Kanda ya Afrika Mashariki.
Kamishna wa PPP David...
BREAKING NEWS NJOMBE.
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
George sanga na wenza wameachiwa huru...
Heshima sana Wanajamvi.
Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati.
Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati...
ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa.
Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali...
Makao Makuu ya Bunge la Jumuiya ya Madola,Common Wealth Kanda ya Afrika kujeng a Dodoma.👇👇
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Bi. Salome Makamba, ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya...
Kauli ya kwanza ya Kada wa CHADEMA George Sanga baada ya kuachiwa huru na Mahakama.
Hii inakuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa alipotangaza kuachia huru wanachama watatu wa Chama Cha...
Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar.
Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar.
Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani...
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa...
Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA.
Kumekuwa na mpambano...
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM...
Tumeona kazi nzuri ya Mheshimiwa Freeman Alikael Mbowe, ni kazi safi sana ambayo imeweza Kuijenga Chadema katika kipindi kirefu zaid,
Yaweza kuwa uimara wa Mbowe au udhaifu wa mpinzani wake wa...
AG Mstaafu Mhe Jaji Warema azungumzia sakata la kumwita RC David Kafulila "tumbili"
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amezungumzia sakata la kumuita tumbili...
Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of...
Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo.
Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo...
Wanabodi,
Kutokana na majukumu yangu kama Mshauri wa Siasa wa Ubalozi fulani hapa nchini Tanzania , moja ya kazi zangu ni kufanya kitu kinachoitwa "stakeholders mapping", kuwatambua watu muhimu...
Soma mwenyewe hii sehemu inayopatikana ktk Waraka wa Chacha Wangwe alioutoa wakati anagombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa".
Soma mwenyewe hapa chini sehemu ya waraka huo:
UTEUZI WA WABUNGE...
Mwito kwa Wizara ya Elimu na TAMISEMI: Kuangalia Upya Sera za Chama cha Walimu (CWT)
Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya elimu nchini Tanzania imekumbwa na changamoto mbalimbali, hususan...
WARAKA WA CHACHA WANGWE.
UTANGULIZI.
Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao kilichofanyika mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.