Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana. Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
2 Reactions
35 Replies
1K Views
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM. Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana. Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama...
2 Reactions
0 Replies
161 Views
"Chama chetu kina ruzuku ya milioni 107, huwezi kukiendesha Chama kikubwa kama Chadema kwa kiasi hicho cha fedha. Tunaenda kwenye Uchaguzi Mkuu huu ambao yeye anagombea, bajeti yake ni zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo. Inasemekana yeye ndo...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Taarifa kutoka CHADEMA Kanda ya Nyasa zinaeleza kwamba, Kesi ya Uongo ya Mauaji aliyobambikiwa George Sanga na wenzake, baada ya kukataa kuunga mkono Juhudi za Jiwe, Hatimaye Hukumu yake imefika...
7 Reactions
94 Replies
2K Views
Kumekucha, hata akiingia atafukuzwa na wana chama. Hii ni kauli ya Wenje wakati akihojiwa na wasafi media.
0 Reactions
10 Replies
363 Views
Hukumu ya Kijana George Sanga kiongozi wa Kambi ya vijana ni leo hii. Mdude Nyagali ameongoza kundi la Vijana Wazalendo wa Chadema mahakamani Leo hii. Taarifa zaidi tutawaletea. Navalonge swela 🐼
3 Reactions
4 Replies
211 Views
Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu). Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Chadema kilikuwa kimbilio la vijana wengi wasomi nikikumbuka vijana wengi wasomi kimbilio kilikuwa Chadema lakini kwa sasa naona Chadema inaelekea kuwa CUF ilio changamka shupazeni TU shingo ndio...
3 Reactions
7 Replies
266 Views
Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao. Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye...
2 Reactions
43 Replies
1K Views
Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama...
5 Reactions
5 Replies
272 Views
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba...
3 Reactions
14 Replies
711 Views
Nawatakia wana JamiiForums na Management, heri na baraka za mwaka mpya 2025! Mwaka huu uwe wa mafanikio, furaha, na amani kwa kila mmoja wetu. Ninawaomba uongozi wa JamiiForums iendelee...
4 Reactions
4 Replies
224 Views
1. Nimejifunza kuwa Chama cha Mapinduzi bado kinastahili kuendelea kuaminiwa na watanzania 2.Chadema ni chama cha siasa ambacho hakina tofauti na wacheza karata tatu 3.Wasomi wote waliokuwa...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila. Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Picha inajieleza! Sitaki maswali mengi,ninajiandaa kumaliza mwaka 2024.
1 Reactions
5 Replies
215 Views
Back
Top Bottom