Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu jf kila mmoja kwa imani yake namsalimia. Leo niko na Wizara ya Afya kama nguzo ya kusimamia taasisi zilizo chini yake mfano chama cha Madactari (MCT). Kwa nini ichi chama kimekua na...
1 Reactions
12 Replies
517 Views
Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki...
18 Reactions
420 Replies
9K Views
Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia...
24 Reactions
124 Replies
3K Views
Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi...
2 Reactions
14 Replies
459 Views
Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman...
8 Reactions
48 Replies
942 Views
Mtikila amesema amefadhaika sana na kauli ya Kagame ya kumfananisha yeye na Mbwa wakati anaongea na Media Rwanda mwezi uliopita. Mtikila anasema yeye aliandaa waraka kuwa Kagame amepenyeza...
6 Reactions
75 Replies
8K Views
Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Mgogoro unaokinyemelea chama cha CHADEMA si wa bahati mbaya bali ni matokeo ya siasa za kuogopana ndani ya chama.Siasa za kuogopana ziko ktk vyama vya upinzani na hata ktk chama tawala.Tofauti...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni...
4 Reactions
20 Replies
422 Views
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi...
1 Reactions
25 Replies
560 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema nipo tayari kuondoka CHADEMA ikiwa wanainchi hawatapata haki zao. Source: Gazeti la Majira.
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Sheria ziko tatu tu nazo ni, 1. Rule Number One: Don't outshine your Boss. 2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss. 3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss. Sheria za nyongeza, 1...
10 Reactions
94 Replies
2K Views
The difference is clear. Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele. As a result...
19 Reactions
240 Replies
3K Views
Wakuu, Kufikia hvi sasa bado, Godbless Lema hajaainisha anamuunga mkono nani kati ya Lissu ama Mbowe. Na wakati watu wanasubiri atoe msimamo wake, Lema ametoa onyo zito kwa baadhi ya makada wa...
2 Reactions
8 Replies
505 Views
𝗠𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗛𝗮𝗹𝗺𝗮𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝗞𝘂𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗠𝗮𝗽𝗶𝗻𝗱𝘂𝘇𝗶 (𝗖𝗖𝗠) 𝗧𝗮𝗶𝗳𝗮 (𝗠𝗡𝗘𝗖), 𝗥𝗶𝗰𝗵𝗮𝗿𝗱 𝗞𝗮𝘀𝗲𝘀𝗲𝗹𝗮, 𝗮𝗺𝗲𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗠𝗯𝘂𝗻𝗴𝗲 𝗮𝘂 𝗗𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮𝘆𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝘁𝗲𝗮 𝗻𝗮𝗳𝗮𝘀𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗮𝗷𝗶𝗹𝗮𝘂𝗺𝘂 𝗺𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲𝘄𝗲, 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗮𝗺𝗲𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗺𝗯𝗼...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Namna ambayo Harbinger Singh alipata hisa za Mechmar kupitia Piper Links na hatimaye PAP inaonyesha ilikuwa ya udanganyifu. 1. Wakati Piper Links ikipata hisa 70% za Mechmar katika IPTL mwaka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbana ccm na serikali yao wanazunguka mbuyu wa kumtoa kafara waziri prof Muhongo. Hivi haya mamikataba ya kijinga si hawa ndo waliingia na sera ya uwekezaji wakadai unatija sass wanaachwaje...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Dr Lwaitama ametoa angalizo kuwa trend inaonyesha Wafuasi wa Mwenyekiti wengine wameamua kukaa Kimya na wengine wameamua kumuunga mkono Tundu Lisu baada ya kuona Hakunaga namna Lwaitama anasema...
36 Reactions
133 Replies
4K Views
Back
Top Bottom