===
Mtakumbuka Rais wa Kenya William Ruto, aliagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India.
" Naelekeza...
𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐀𝐊𝐈𝐑𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐋𝐅𝐔 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐏𝐈𝐆𝐎.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya...
Taarifa kutoka kwenye kambi yake ya Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema inaeleza kwamba, Mgombea huyo ambaye kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema atalihutubia Taifa katika kile kinachoitwa...
Akimjibu Godbless Lema Ukurasani X Mbunge wa Nzega vijijini anesema tuzidi kuomba Mungu yanayotokea Msumbiji sasa yasije kutokea Tanzania
Dr Kigwangalla amemwambia Lema " afadhali Wewe family...
Pamoja na polisi kuwa mnafanya kazi yenu vizuri ila Kuna wakati mnasumbua sana hasa mkiona magari mapya, na lengo la usumbufu wenu ni kuombaomba ela. Nadhani kwa Arusha inabidi mtupumzishe kidogo...
Tafadhali wale mlio karibu na magezeti msiache kuchukua makala ya hili gazeti ni muhimu sana kwa kumbukumbu za watoto wetu hapo baadae jinsi wapigania mabadiliko walivyogeuzwa ghafla kwa...
Wakuu,
Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia!
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais...
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…...
Allahmdulillah!
Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine.
Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa...
Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania.
Ni katika jitihada hizo...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika...
Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM.
Uongo hadi Shetani anashika mdomo...
UJASUSI - NANI NI AUTHORITY HALALI(KISHERIA)?
Sakata la kumpata mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo limeibua mambo mengi miongoni mwa kambi pinzani ndani ya chama, ikiwa ni matokeo ya...
Imeandikwa na: Adv Tito Magoti
Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini...
Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini,
1. Visima vya maji,
2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD),
3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara...
Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana...
Dr Kigwangalla akijibu hoja ya Peter Henry kwamba CCM inamtaka Mbowe Kwa sababu Inammudu, amesema " on the contrary MIMI SITAKI LISU APOTEE"
Majadiliano Ukurasani X
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.