Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa...
1 Reactions
1 Replies
151 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo. "Hii ni kutokana...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Propaganda ni mbinu ya mawasiliano inayolenga kushawishi watu kuamini, kukubaliana, au kutenda kwa namna fulani kwa kutumia taarifa zilizochaguliwa, zilizopotoshwa, au zenye mwelekeo wa upande...
2 Reactions
5 Replies
306 Views
Anaandika Mwanasheria Garatwa Francis Awali ya yote nitumie nafasi hii kumpongeza mtaalam wa Idara ya IT - Makao Makuu ya CHADEMA Taifa, kijana mwenzetu Remigius Selestine kwa ujasiri wake wa...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu...
11 Reactions
76 Replies
2K Views
SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan...
4 Reactions
19 Replies
763 Views
kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Huo ndio ukweli, ukweli usiopingika. Tatizo ni kuwa Mgema akisifiwa, Tembo hulitia maji!
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Wanabodi Mzee wa masauti, Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja...
17 Reactions
58 Replies
1K Views
Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua...
0 Reactions
4 Replies
381 Views
Mafunzo kutoka kwa machafuko ya baada ya uchaguzi wa Msumbiji, wito wa kuziamsha nchi wanachama wa SADC ikiwemo Tanzania Dec 26, 2024 Ephraim Mkali Uchaguzi wa hivi majuzi wa Msumbiji...
2 Reactions
20 Replies
862 Views
The Investment Landscape in Tanzania: A Dual Reality Tanzania, located in East Africa, has often been considered a prime destination for investment due to its natural resources, growing...
4 Reactions
26 Replies
11K Views
https://www.youtube.com/shorts/e-h8zzRwB44?feature=share RC Chalamila nazani madaraka yamemlevya ..amekua akiwadharau sana watu wa kipato cha chini ,hana lugha mzuri kundi ili la watanzania...
12 Reactions
38 Replies
1K Views
Hivi chama kikubwa kama chadema hakuna collateral au dhamana ya kuombea Mikopo Bank hadi wawe wanakopa kwenye Kausha damu? Nakumbuka NCCR Mageuzi walikuwa na Ardhi kubwa Bagamoyo na mara kadhaa...
5 Reactions
28 Replies
584 Views
Tangazo la Uchaguzi wa Mrithi wa Kinana Tunaeleza kwa furaha kuwa mchakato wa kutafuta mrithi wa Kinana utaanza rasmi mwezi Januari 2025. Huu ni mchakato muhimu kwa chama chetu, na tunawahimiza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa? 2. Jibu Kwa kutaja...
17 Reactions
234 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nitawaleteeni Matukio Makubwa yaliyotikisa Nchi yetu na kuteka hisia za Watu wengi sana hapa Nchini. Nitakuwa nawaleteeni awamu kwa awamu.Leo naaanza na haya yafuatayo...
2 Reactions
46 Replies
888 Views
Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake...
6 Reactions
15 Replies
713 Views
Ni kweli Tundu Lissu ameshatia nia lakini kwa mujibu wa mjumbe wa CC, Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa Nimeona tuwekane sawa...
10 Reactions
72 Replies
1K Views
Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga...
2 Reactions
3 Replies
261 Views
Back
Top Bottom