Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali. 2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia? **Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Heshima kwenu, Leo ni miaka 3 tangu kifo cha mwanasiasa nguli wa upinzani Mchungaji Christopher Mtikila kufariki dunia katika ajali ya gari. Binafsi naamini angalikuwa hai angesaidia kukemea...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo...
4 Reactions
18 Replies
891 Views
MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa... Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la Mchungaji Mtikila hakuna tairi...
34 Reactions
772 Replies
121K Views
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari...
14 Reactions
365 Replies
49K Views
Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Sijui niseme Watanzania wajinga au washamba. Watanzania wengi wanatamani aidha wangekuwa watumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa au JWTZ. Ukiwadadisi sababu haswa hawana hata maelezo ya kutosha...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
MAMBO MATANO YA KUTAFAKARI BAADA YA MBOWE KUNG'ANG'ANIA UENYEKITI WA CHADEMA. Na; Garatwa Francis Awali ya yote niwapongeze sana wapenda mabadiliko wote mliopo ndani na hata nje ya nchi yetu...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala...
4 Reactions
78 Replies
1K Views
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua. Zipo tetesi...
20 Reactions
278 Replies
40K Views
Wanabodi, Kwanza sote tunalaani kwa dhati kabisa, kitendo alichofanyiwa Mhe. Tundu Lissu cha kumiminiwa risasi 38 na watu wasiojulikana, kati ya hizo risasi 16 zikampata!, kitendo ambacho...
28 Reactions
228 Replies
22K Views
Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces...
10 Reactions
39 Replies
806 Views
"Unaposema leo kuwa Lissu hafai, mtu mliyemuamini nyinyi (CHADEMA) wenyewe, kama Lissu hafai basi CHADEMA haifai. Kama Tundu Lissu wanamuona hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, CHADEMA haifai...
7 Reactions
43 Replies
1K Views
SWALI LANGU: Ni utaratibu upi mpya utumike katika kupata watendaji bora wa kisiasa mbali na huu wa sasa ambao baadhi ya wakongwe wa tasnia hii (Freeman Mbowe) wanaona kuwa haufai? Habari zenu...
6 Reactions
219 Replies
14K Views
Freeman Mbowe - Mwenyekiti Ezekiel Wenje - Makamu Benson Kigaila - Katibu mkuu VS Tundu Lisu - Mwenyekiti Godbless Lema - Makamu John Heche - Katibu mkuu CCM...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa, Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la...
1 Reactions
8 Replies
365 Views
Miaka 60 ya uhuru Watanzania wanaishi kwa tabu na dhiki. Naongea kwa mambo ambayo nayaona kwa macho yangu. Iwe mjini au kijijini upatikanaji wa maji ni shida. Ajira ni tatizo kubwa. Pesa haina...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Huyu Mheshimiwa apunguze maneno ya ovyo. Ipo siku litamtoka neno. Hata mwenyewe hataamini!
10 Reactions
14 Replies
778 Views
Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla. Nimesikia tetesi kuwa kuna watu wasioitakia mema nchi yetu wamekuruhusu urudi Zenj. Je unakuja kufanya nini...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Back
Top Bottom