Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo...
12 Reactions
75 Replies
2K Views
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini...
30 Reactions
572 Replies
59K Views
Tanzania: Usultani wa Oman na Jamhuri ya Tanzania zasaini makubaliano ya kuondoa kodi maradufu Desemba 15, 2024 Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametia saini leo mjini Muscat...
1 Reactions
12 Replies
378 Views
Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama , Kiti cha mwenyekiti imekuwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Yaani yale Maigizo yote Wananchi tukaaminishwa Chadema ni Chama Kikuu Cha Upinzani huku Akwilina akiwa amedhulumiwa HAKI yake ya kuishi Lakini sasa Makamanda Wenyewe wanakiri Chadema ni...
2 Reactions
19 Replies
550 Views
Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru. Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar...
1 Reactions
8 Replies
309 Views
Jana katika kipindi cha Dk 45 ITV walikuwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambaye alipinga vikali utaratibu uliyokuwa unatumiwa na aliyekuwa Mkuu wa...
5 Reactions
82 Replies
41K Views
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine? N. B: Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri...
8 Reactions
91 Replies
2K Views
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea"...
37 Reactions
356 Replies
28K Views
Naipongeza shinyanga Napongeza Arusha Napongeza Pwani Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani...
4 Reactions
5 Replies
223 Views
Kuacha ushabiki wa vyama, tunaweza kukubaliana japo kwa kiasi kuwa Tundu Lisu ni mwanasiasa mzuri ila mrengo wake ni wa kiharakati zaidi tofauti na vyama vingine na kuna kiasi kikubwa tu cha...
0 Reactions
23 Replies
517 Views
CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi...
1 Reactions
3 Replies
128 Views
Tamasha kubwa la burudani na utamaduni la Kizimkazi Festival linatajwa kutazamwa dunia nzima kupitia TV, insta live na YouTube.
5 Reactions
17 Replies
578 Views
Kuna msemo mmoja unaosema A clever bird gets caught in a weak trap." Kweli Lissu kaingizwa upepo kajaa na wanaharakati? Maria space imemjaza upepo?
0 Reactions
13 Replies
411 Views
Kuna watu hawapendi maneno mengi. Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo. Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake...
3 Reactions
25 Replies
626 Views
Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama...
2 Reactions
21 Replies
651 Views
Watu wengi wanashangaa na kushtushwa na mtifuano wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA. Wanaona ni jambo jipya. Wengi wameanza na kubashiri chama kupasuka. Lakini ukweli ni kwamba...
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za...
2 Reactions
12 Replies
286 Views
Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli...
4 Reactions
24 Replies
559 Views
Back
Top Bottom