Hili liwe funzo zuri Kwa Wanasiasa wadogo Wadogo akina Yeriko, Maranja, Mdude, Choice variable nk
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Mbowe alimpigia Simu mara 5 Ili kumjulisha habari za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri...
Salaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha...
Hili liko wazi baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja ambao ni Mzee Kinana na Peter Noni.
Fuatilieni brela na TCRA and connect the dots..
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA...
Waziri wa maji Aweso.
Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya...
Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul
Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577...
Lissu 2020 baada ya kushindwa uchaguzi na Magufuli aliwatukana na kuwadharau wananchi baada ya kumpuuza alipowaita watoke barabarani akawambia ni wapumbavu sana wasiojielewa akiwa nchini...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita.
Moja...
Mahakama ya Wilaya ya Babati imemtumia wito Mbunge Pauline Gekul kufika Mahakamani hapo Disemba 27, 2023 kujibu kesi inayomkabili.
Mahakama hiyo imemtaka kufika pasipo kukosa.
Mbunge wa Babati...
Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria
Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024
RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji...
Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga?
Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini...
ANAANDIKA MHE.ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA.
JESHI LA POLISI LATUMIWA NA DC LIJUALIKALI KUFANYA UNYAMA NA UKATILI WA KUTISHA. WATOTO WACHANGA WAACHWA MAJUMBANI, VIPIGO NA...
Wakuu,
Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.