Serikali ya Tanzania, Imeifungia Kampuni ya Six telecom kwa kuisababishia serikali hasara ya Billioni nane. Vilevile Kampuni hiyo, imekiuka taratibu za leseni za mawasiliano.
=================...
Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964
Kwanini Mapinduzi Yalitokea
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala...
https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU
Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana.
Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama...
Rais Dkt. Samia Suluhu ametoa Shilingi milioni 10 kwa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Arusha ili kusaidia kukamilisha utaratibu wa kuanzisha Chama cha Ushirika cha waendesha bodaboda hao...
Ili tuweze kuiunganisha afrika sisi kama watanzania ni kuwaunganisha kua nchi moja na kuiongoza. Tumeona nchi nyingi zinapitia migogoro na migogoro hiyo siso kama watanzania ndio tunaenda...
Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo
Je Demokrasia...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili:
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Mashaka Gambo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob alishiklliwa na Police kwa Saa 4 kabla ya kuachiwa kwa Dhamana
Boni Yai anadaiwa kuhuisha lakini zake 2 za Simu zinazoshikiliwa na polisi na...
Salaam, Shalom!!
Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa...
Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto...
Sijajua hili linawezekana vipi , Ofisi ya Msajili ina watambua watu fulani kama viongozi halali .
Inawezekana vipi mtu mwingine kujitangaza kiongozi? Kwani haiwezekani kwa Ofisi ya msajili...
Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema.
Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza...
Leo, Desemba 27 Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, akiambatana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) nchini Tanzania, Mohammed Kawaida...
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda...
1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine...
Salaam Wakuu,
Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi.
Nimetafuta Video za...
Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama.
Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote...
CHADEMA leo sio rahisi kufa kama TLP au NCCR
by Nanyaro EJ
Ni mwanga wa matumaini na tumaini la mabadiliko ya kweli kwa Tanzania. Tukilinda mshikamano wetu, hakuna nguvu inayoweza kutuangusha...
CHADEMA NI MARHUMU IBN KUZIMU?
Anaandika Mo Mlimwengu.
Waliamini lila na fila vinaweza kukaa pamoja wakapingana na wahenga waliosema havitangamani. Kila kitu kipe muda sasa hivi yako wapi? Huku...
Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.