Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap...
6 Reactions
105 Replies
3K Views
Wanabodi, Tanzania imepitia mageuzi makubwa sana kwenye nyendo za siasa tangia ipate uhuru. Katika kipindi cha awali nchi ilikuwa chini ya utawala wa chama kimoja mpaka mwaka 1992 ambapo mfumo wa...
1 Reactions
5 Replies
170 Views
Dr. Ferdinand Masau (Bingwa wa Magonjwa wa Moyo na Upasuaji) aliamua kuacha kazi nzuri ya kulipa huko Marekani na kurudi nyumbani kuleta ujuzi wake na vipaji vyake ili kusaidia Watanzania wenzake...
12 Reactions
1K Replies
164K Views
Wakuu kwema? Nini kiitokea kikafanya Mbowe aahirishe ghafla safari aliyokuwa ameipanga? Hamuoni kwamba ana machale? Nashauri tumpitishe kwa kishindo ili machale yake yaendelee kukibeba chama...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Baraza la wasanii CHADEMA maarufu kama BAVICHA leo katika mkutano wao wa kuadhimisha siku ya wazee duniani wameoneshwa jinsi wanavyokereka na tabia wanazoonesha vijana kwenye mwendokasi. Soma...
0 Reactions
9 Replies
429 Views
Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na...
4 Reactions
18 Replies
397 Views
Wiki iliyopita nilikuwa napita ghetto usiku saa mbili hivi, nikawaona watoto wachache wamekaa pale,wasichana nikatoa offer,nikawapa sh.1000(elfu moja) buku. Wakaikataa. Sasa,I was very shocked...
2 Reactions
10 Replies
503 Views
KUTOKA KWA MALISA GJ Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu; 1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na...
64 Reactions
166 Replies
20K Views
Mapungufu Kumi ya Freeman Mbowe kama Sababu za Kuangushwa na Wapiga Kura na Kumpigia Lissu Kura: Uongozi wa Muda Mrefu na Kukosekana kwa Mabadiliko Freeman Mbowe ameongoza CHADEMA kwa zaidi ya...
3 Reactions
22 Replies
761 Views
Wanabodi Kwa vile Rais Samia, ameisha onyesha nia ya dhati, (political will) ya kuliponya taifa kwa kauli na matendo, mnaonaje pia tukamshauri pia ayaponye na majeraha na makovu ya Mapinduzi...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama...
1 Reactions
6 Replies
377 Views
Ni wazi ana hamaki na mawenge ya kiwango cha juu mno. Anaweweseka sana na amekosa utulivu, hana uhakika wa amani na kwakweli kujiamini kwake, mdomo na makelele kuna pungua kadiri siku...
7 Reactions
46 Replies
999 Views
Haya ndio Maajabu yanayoitofautisha Tanzania na Nchi zingine Duniani. Yaani Wananchi wamefunga safari eti kuja kumshukuru mtu ambaye ametimiza tu Wajibu wake na amelipwa na mshahara kwa kazi...
7 Reactions
39 Replies
516 Views
Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Normal human red blood cells have an average life span of about 120 days in the circulation after which they are engulfed by macrophages. This is an extremely efficient process as macrophages...
4 Reactions
8 Replies
244 Views
Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanabodi, Tukubaliane kwamba CHADEMA kuingia madarakani ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Ni Jambo ambalo litahitaji maandalizi ya muda mrefu na tofauti na wengi wanavyo fikiria...
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Back
Top Bottom