Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa...
4 Reactions
38 Replies
911 Views
Yeriko Nyerere amelalamika Ukurasani X kwamba anatukanwa kuwa yeye ni Chawa ila wanaomuunga mkono Tundu Lisu wanasifiwa Yeriko amesema huu ni Wendawazimu Endeleeni kula mtori nyama mtazikuta...
13 Reactions
94 Replies
3K Views
Tunasema ni Wiki ya Omega kwa sababu kesho Jumanne tunaufunga mwaka 2024 Tunasema wiki ya Alfa kwa sababu kesho kutwa Jumatano tunauanza Mwaka mpya wa 2025 Tunaufunga mwaka huku Habari za Tundu...
2 Reactions
7 Replies
251 Views
Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba...
12 Reactions
45 Replies
1K Views
1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi. 2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu. 3...
6 Reactions
19 Replies
697 Views
Wakati Mhe. Mbowe anatia nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema alitamka jambo zito sana linalowahusu vijana wa sasa.Naungana na Mhe. Mbowe katika jambo hili kwa sababu ni kweli kabisa vijana...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza...
5 Reactions
2 Replies
255 Views
Kuhusu Katiba Mpya tusimuomee Bure Mbowe hajawahi kuizungumzia Kabisa Hata kwenye Bunge la Katiba ni Mbowe na Prof Lipumba ndio waliwashawishi Wajumbe wa UKAWA wachukue posho ZOTE halafu Wasuse...
3 Reactions
31 Replies
516 Views
Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi, Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025. ==== Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa...
9 Reactions
103 Replies
4K Views
My Take Chadema ya Kibaraka Tundu Lisu wanataka Katiba Mpya kama ya Kenya Ili kuzuia Utekaji 😂😂😂😂👇👇👇 https://www.instagram.com/p/DEFREgHCfFt/?igsh=ZDlhMWc4ZjBxb3Zs Kamateni wajinga werevu tunajua...
2 Reactions
15 Replies
430 Views
Kuna watu hapa hawataki kusikia katiba mpya na wanaunga mkono wizi wa kura , hawasemi lolote watu kutekwa lakini cha ajabu wanasema wenyewe ni wazalendo. Sasa watueleze sababu zao za kufikiria...
4 Reactions
6 Replies
167 Views
Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Wanabodi, Baada ya kuisoma hii story hapa chini, nimeisikia sauti ya ndani yangu, the voices from within ikiniambia huyu Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said, ambaye alizaliwa tarehe 16 Septemba...
14 Reactions
112 Replies
7K Views
Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
11 Reactions
45 Replies
2K Views
NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh...
28 Reactions
89 Replies
4K Views
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana Nimepatwa...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
29 December 2024 Dar es Salaam Maandamano ya Jubilei Jimbo Kuu jijini Dar es Salaam 2025 https://m.youtube.com/watch?v=hDK2Hmt-zN8 yaliyoanzia kanisa la St Peters lililopo Oysterbay Mbuyuni...
1 Reactions
9 Replies
670 Views
Dk. Harith Ghassany ni mwandishi wa kitabu kinachoongelewa Tanzania nzima sasa hivi na huenda kikavuka mipaka na kuingia nchi nane zinazopakana na Jamhuri ya Muungano. Kitabu hiki chenye...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla anesema Tume ya uchaguzi ni Huru na Wao Huwa wanawagalagaza chadema kwa sababu chama hicho hawajipangi " Kama Wana uhakika wa ushindi Kwanini hawalindi...
1 Reactions
8 Replies
454 Views
Back
Top Bottom